BSS ya mwaka huu washiliki hawako silias

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
858
Katika pitapita yangu mtandaoni nimegundua washiliki wengi wa bss msimh huu hawako siliasi,na wenda wapo kwaajili ya kuchekesha

Swali la mara kwa mara walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000

Ni mmoja tuu yeye alisema mavaziyake ameazima hayajamgharimu hata pesa yoyote ( yeye asili yake ni mchina)
Najiuliza tuu lengo lao ni lipi?

Nimekuwekea vidio full na ww ujionee washiliki wa bss wanacho kifanya --tusiongelee
 
Katika pitapita yangu mtandaoni nimegundua washiliki wengi wa bss msimh huu hawako siliasi,na wenda wapo kwaajili ya kuchekesha

Swali la mala kwa mala walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000

Ni mmoja tuu yeye alisema mavaziyake ameazima hayajamgharimu hata pesa yoyote ( yeye asili yake ni mchina)
Najiuliza tuu lengo lao ni lipi?

Nimekuwekea vidio full na ww ujionee washiliki wa bss wanacho kifanya --tusiongelee mate

Swali la mala kwa mala walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000
 
Kama nguo zimegharimu pesa nyingi kiasi hicho wamefata nini BSS
 
Swali la mala kwa mala walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000
Mara kwa mara correction
 
Bongo star search= shindano la kumsaka nyota wa bongo/tz katika fani ambayo haijafafanuliwa kwa hyo inaewezekana akawa star katika kuimba,kurap,kuchekesha,kuvaa,kula,kuruka sarakasi nakadhalika.kwa kifupi washiriki wanaokuja na vipaj tofaut na kuimba wapo sawa kabisaa ila shida ipo kwa waandaaji wa hyo bss maana wameegemea kuwa ni lazima uimbe wakati vipaji vipo tofauti tofauti.kwa wenye uelewa watanielewa
 
Swali la mala kwa mala walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000
Jifunze kuandika kiswahili fasaha (mala kwa mala) mara kwa mara
 
Swali la mara kwa mara walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni 700,milioni 30 milioni 73 wa kiwango cha chini kabisa yeye alisema mavazi yake yamegharimu 500,000

Ni mmoja tuu yeye alisema mavaziyake ameazima hayajamgharimu hata pesa yoyote ( yeye asili yake ni mchina)
Najiuliza tuu lengo lao ni lipi?
Wameyataka wenyewe mtu kaja kuimba una muuliza bei ya nguo alizo vaa kwani yamekuwa mashindano ya mavazi?
 
Back
Top Bottom