Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa miaka mingi bodi hii imekuwa iki recognize wataalamu wa uhasibu wale wenye CPA kama wanachama wao walioko registered na board hiyo. Kumekuwepo na board nyingi za wanataaluma, zikiwemo Board...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Chama cha walimu CWT Kiteto kimewataka walimu wastaafu kuwatumia waliofanikiwa pamoja na kujiongeza ili kuepuka kudhalilika mitaani. Katibu wa chama hicho Jemes Puya ameyasema hayo wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
(Vijana wa CCM Someni Mwelewe Mnachoambiwa) Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Mohammed Kambi amesema matumizi ya mitandao nchini yanaweza kuwasababishia vijana magonjwa ya akili siku zijazo, amesema hii...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Na Thadei Ole Mushi. Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili. Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9...
17 Reactions
77 Replies
11K Views
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu ujenzi wa Tazara flyover uanze, lakini leo nimepita pale nakuona patupu kabisa, hakuna kilichofanyika zaidi ya kublock njia na ile mijiwe mikubwa ya zege na...
1 Reactions
123 Replies
21K Views
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria; Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu...
16 Reactions
141 Replies
19K Views
1. Nini maana ya ndoto? (Nightmare) 2. Je, binaadamu wote huota ndoto? 3. Je, kila ndoto ina maana? (Tafsiri) 4. Kwanini tunaota ndoto?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi nawasalimu kwa taadhima! Hivi ndio vitu vipo kwenye ndoto za watu wa mikoani hususani wanaume, kila wanapoiwazia DSM! Vitu hivi ndio vinavyosimuliwa sana mara tu wanaporudi Mashambani...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni swali fikirishi je asipopatikana milele ninani wa kulaumiwa? 1.Yeye mwenyewe 2.serikali 3.familia Msiunganishe huu Uzi haujataja MTU mods.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwepo na mkanganyiko hivi karibuni baada ya kuwepo na matumizi ya neno umama kutumika katika sentensi mbali mbali, baadhi ya watu na tasisi zimeenda mbali mpaka kuja na makatazo wakidai eti...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Thanks Jesus all is well
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hariba wakuu!!tukiwa tuna pambana na ugumu wa maisha na makodi ya kira aina.aitoshi bado kuna ukatili wa kutisha unao fanyika ndani ya jamii zetu.binadamu wa Karne wa ya 21 wamekua na ROHO MBAYA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi kwa uelewa wangu wa Kawaida, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Ndugu yetu Paul Makonda anayo nafasi kubwa ya kujishindia kitita cha Bil 1 kwa ajiri ya Kumpata Mo. Wasi wasi wangu tu ni kwamba...
13 Reactions
50 Replies
11K Views
Kufuatia zoezi la CCM kuhakiki mali na viwanja inavyomiliki imeleta sitofahamu kwa kufungwa bars hizo maarufu zilizoko wilayani Temeke kutokana na uendeshwaji wa shughuli hizo za biashara pasipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatimaye Shirika la Afya Duniani ( WHO ) limepiga marufuku kunzia sasa tabia ya Watu kuwapima Wasichana ' Bikira ' zao wa kutumia njia ya ' Ndole ' wenyewe wakiita Virginity Testing au Two Finger...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
.
0 Reactions
39 Replies
2K Views
#Habari. Wasafiri na mawakala wa mabasi mikoani katika stendi mpya mjini Tabora wameingiwa na wasiwasi baada ya kutokea kuku chini ya uvungu wa mabasi yaendayo Mbeya ambaye hakuwa na manyoya huku...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama mshahara wako kwa mwezi ni 959,000.00 Bilion Moja ni mshahara wako wa miaka 86, na hakuna mtu anayefanya kazi miaka 86, bora uombe ruhusa tu kwa mwajiri ukamtafute Mo. Wanaume wa Dar wana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ikumbukwe kwamba Hospitali hizi ndio zilizochukua jukumu la kuhamasisha uzazi wa Mpango , ambao sasa unapingwa na viongozi wa Tanzania ambayo viongozi wake wanadai kupanga uzazi ni sawa na...
12 Reactions
75 Replies
19K Views
My Take Hivi serikali iliwahi kujibu aliyepora CCTV za eneo alilotaka kuuwawa Tundu Lissu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…