Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
(Vijana wa CCM Someni Mwelewe Mnachoambiwa)
Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Mohammed Kambi amesema matumizi ya mitandao nchini yanaweza kuwasababishia vijana magonjwa ya akili siku zijazo, amesema hii ni kutokana na kukithiri kwa ukatili na unyanyasaji kwenye mitandao unaotishia afya ya akili na ustawi wa vijana