Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;

Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.

Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.

Kwahiyo ndugu lema na wenzake wasithubutu kufanya makosa hayo! Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi; kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!

Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
 
Mamlaka ziliheshimiwa aliporekodiws Mnyeti akigawa rushws na matokeo yake alipandishwa cheo.
hakukuwa na mlalamikaji, pia hakuna ushahidi Wa tukio lile kuhusiana na kazi, haikatazwi kiongozi kutoa zawadi
 
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
Kuna siku mtaumbuka vibaya, tena kweupee
 
Mlivyo wa ajabu mtatumia nguvu nyingi kumstopisha Lema kuliko kumtafuta mo
 
Neno uchunguzi limekuwa na tafsiri kama ya neno Mchakato, tangu ln mhusika akajichunguza mwenyewe?. Tuna Uhuru wa kutoa maoni yetu kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu. Lema yupo sahihi na hata wewe unao Uhuru huo ndiyo maana umeleta pumba zako hapa
 
Back
Top Bottom