chumanile
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 300
- 342
Hariba wakuu!!tukiwa tuna pambana na ugumu wa maisha na makodi ya kira aina.aitoshi bado kuna ukatili wa kutisha unao fanyika ndani ya jamii zetu.binadamu wa Karne wa ya 21 wamekua na ROHO MBAYA MISIRI YA MYAMA ASIO KUA NA CHEMBE HATA MOJA YA UFAHAMU.matukio ya kutisha yamezidi kukithiri ndani ya inchi yetu.kwa nini matukio ya kutisha na yakinyama yanazidi kuongrzeka kira kukicha?kuna nini ndani ya mioyo yetu?nani chanzo ya haya matukio hovu kutokea?TUNA MAISHA MAGUMU RAKINI BADO TUNAUWANA,KUTEKANA,KUDHULUMIANA,WIZI KUWITI VITOTO NK.IVI TUNATA NINI HASA??inauma Sana.[emoji23] [emoji23]