Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni...
Katika mipango ambayo ni pasua kichwa kwa sasa, ni huu mpango mpya wa lukuvi wa kurasimisha makazi kwa makazi holela.
Ipo nia njema kabisa ya mh. Lukuvi kuanzisha utaratibu huu lakini utekelezaji...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Damas Ndumbaro ametangaza ujio wa Kampuni kubwa za uwekezaji kutoka nchini Ubelgiji
Tayari wawekezaji hao wako katika makubaliano ya kusaidia mkataba wa ndege...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto ( UNICEF), wameonesha nia ya kuisaidia Serikali ya Tanzania kufanya tafiti mbalimbali kuhusu maendeleo ya mtoto ili kukabiliana na changamoto...
Ajali hiyo ya moto imetokea asubuhi ya leo karibu na Kituo cha Mafuta kilichopo Kange Mkoani Tanga
Katika tukio hilo hakuna abiri aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.
Thamani ya mali...
jana tar 23 jijini DSM umeme ulikatika kwa mda wa zaidi ya dakika 40, nikiwa kwenye foleni ya ultra sound umeme ukakatika na huduma zote za hospital hii kubwa ya mkoa wa ilala zikasimama kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mh. Gelasius Byakanwa amefanikiwa kuuzima moto wa wafanyabiashara mjini Mtwara kufuatia mgomo wa kufungua maduka asubuhi ya leo wakilalamikia tozo kubwa ya ushuru...
*NAFASI ZA KAZI OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAIS SMZ*
WANAHITAJIKA
Afisa Mazingira
Afisa Mipango
Wasaidizi Afisa Doria
Afisa Utumishi
Afisa Utumishi Msaidizi
Msaidizi Afisa Utumishi
Afisa Habari...
1.Wanaume tuna fursa adhimu ya kuoa mke zaidi ya1 ili ni jambo la heri sana ...uliza kwann nitakujibu.
2.Mwanamke ana haki ya kudai talaka pale anapoona inafaa,haiwezekani mwanaume lilevi...
Kichwa chajieleza.
Kuna baadhi ya watumishi Serikalini hulipwa kwa kima cha chini, yaani 300,000 Sh. Fedha hii ukikata makato ya NHIF, PAYEE na mfuko wa hifadhi ya jamii mhusika anabakiwa kama...
Ndugu zangu, maisha yamekua magumu, usalama umepungua sana na watu hawaaminiki, kuna haja ya kua na shirika la upelelezi tofauti na polisi (kama ilivyo FBI kwa marekani ) polisi wetu sioni kama...
Habarini za Kazi
Wadau naomba niwashirikishe jambo,
Kuna matapeli wanapiga simu kwa watumishi wakijitambulisha kuwa ni maafisa kutoka TAMISEMI atakutajia check number yako na particular zako...
Manispaa ya Songea tumeletewa umeme kutoka Makambako.
Tatizo la umeme huu umekuwa kero kwetu kila siku tunashinda bila umeme na tunalala bila umeme. Umuhimu wa umeme katika kukuza uchumi ni...
Simba Dume Mzee na Mkali sana wa Mbuga Kubwa kabisa ya Serengeti pamoja na Mwanae Mpendwa na wa Kipekee Dume kwa Kushirikiana na Simba Wenzao wanaofugwa katika Hifadhi ' Maalum ' ya Oysterbay...
Tanzania’s mining sector is booming, and Minexpo, the premier international trade exhibition on mining is promoting the East African market to the world. The 4th Minexpo is next scheduled to make...
Ni matumaini yangu kila mtu yuko bukheri wa afya, kama ni mgonjwa au jambo lolote linakusibu basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upate kabiliana na hiyo hali.
Straight to the topic, ebwana leo...
Mahakama ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela Abrahamu Kaaya (23) mkazi wa kijiji cha Karansi wilayani Siha kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa ujauzito...