Tangazo la kupotea kwa mtoto

Tangazo la kupotea kwa mtoto

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,789
Reaction score
51,557
Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali


Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.


Msaada tafadhali ndg zanguni.

NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.


Asanteni


U P D A T E S:

Habari za mchana wakuu.ninamshukuru Mungu tumefanikiwa kumfikisha mtoto nyumbani kwa wazazi wake akiwa mzima wa afya.

Nawashukuru nyote kwa michango yenu.🙏
 
Poleni sana! Toeni taarifa kituo cha polisi kilicho karibu. Niko bibaadamu huyo yanaweza tokea ya kutokea
 
Wazazi wa huyo mtoto ni bure kabisa wanafaa kupigwa makofi, usiku huu mtoto wa miaka kumi yupo nje harafu wao wapo wanadinyana huko... SHENZIII!!
Umejuaje km hawako wanahangaika kumtafuta mkuu??Zingine ni bahati mbaya tu katika maisha suala ni kumshukuru Mungu mtoto kaweza kujieleza vizuri I hope atafikishwa kwao salama.
 
Picha?
Au hata maelezo hanikizi ya muonekano wa mtoto,

Poleni
 
Wekeni na picha kama yule aliyekuwa anaitwa Beauty. Alafu inafaa ikatolewa taarifa polisi kwanza jamani na ndo utaratibu

Hapo kwenye kupeleka watoto mbali nadhani mfanye kama MOSHI mjenge shule kila kata ili msiwatese watoto wenu kutembea mbal
 
Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali


Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.


Msaada tafadhali ndg zanguni.

NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.


Asanteni
Kama eneo la wazazi wake walipo umeisha lijua si umpeleke tu.......au mpe hifadhi kesho uta mpeleka.
 
Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali


Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.


Msaada tafadhali ndg zanguni.

NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.


Asanteni
Mungu akubariki sana kwa kujali maisha ya huyo mtoto
 
Mungu akubariki sana kwa kujali maisha ya huyo mtoto
Asante mkuu..roho iliniuma sana nikajaribu kuvaa kiatu cha huyo mtoto kama angeshukia mikononi mwa watu wasiojulikana uwii

Na hakuwa na namba za mzazi hata mmoja
 
Pole. Pia ilifaa kwa mtoto mwenye umri kama huo kuwa amekariri kichwani namba ya walau mmoja wa wazazi wake. Ingesaidia zaidi.
Hakuwa na namba za mtu yeyote achilia mbali hao wazazi wake tu.ilikuwa inasikitisha
 
Wekeni na picha kama yule aliyekuwa anaitwa Beauty. Alafu inafaa ikatolewa taarifa polisi kwanza jamani na ndo utaratibu

Hapo kwenye kupeleka watoto mbali nadhani mfanye kama MOSHI mjenge shule kila kata ili msiwatese watoto wenu kutembea mbal
Sawa mkuu nashukuru kwa mawazo yako.shukrani sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom