Mambosasa: Sijalala masaa 200, nilikuwa namsaka MO

Mambosasa: Sijalala masaa 200, nilikuwa namsaka MO

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
dharau zinazidi ?
uhuru1.jpg
 
Jamaa wapo smart shida inaletwa na ndugu zao wa upande wa pili,akuna kazi ngumu kuambiwa ukaseme jambo ambalo ukifikiria sio sahihi.Mfano mzuri Mzee siro kajikanyaga kwenye tukio la yule mhindi.
 
Huyo anastahili apewe ile 1b ikishindikana hiyo apewe hata nusu yake kama kifuta jasho
😀😀😀😀😀😀
Nusu yake akiamua kutumia laki moja kila siku, atazitumia kwa muda wa miaka 27.
 
Nimeona kwenye gazeti la UHURU kamanda Mambo sasa anasema hajalala masaa 200 alikua anamtafta Mo. Swali langu ni je; Kwa wastani "Kamanda" Mambosasa hua analala masaa mangapi kwa "usiku"?

Kwa hesabu ya harakaharaka hata kama "Kamanda" angekua analala masaa 12 kwa usiku, yaan analala saa1 usiku na kuamka saa 12 asubuhi, bado masaa 200 ya usiku hayajafika tangu alipotekwa Mo hadi kupatikana kwake!?

Kumbuka Mo alitekwa na kupatikana baada ya siku 9 tu ambazo ukizidisha kwa masaa 12 (ya kulala) ambayo Mambosasa anadai hakua analala mpaka ampate Mo, na mpaka alipopatikana, masaa 200 hayajatimia.

Kwanini jeshi letu linadharaulishwa kwaajili ya kutfafta cheap popularity? Jeshi la polisi huu uongo wa bei chee ni kwa maslahi ya nani?

tapatalk_1540369518925.jpeg
 
😀😀😀😀😀😀
Nusu yake akiamua kutumia laki moja kila siku, atazitumia kwa muda wa miaka 27.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umekosea hesabu kidogo, nasiki nusu yake ataitumia kwa miaka 13 na nusu ikiwa ataamua kutumia laki moja moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Umekosea hesabu kidogo, nasiki nusu yake ataitumia kwa miaka 13 na nusu ikiwa ataamua kutumia laki moja moja
Kuna uzi Mshana Jr aliandika kuwa hiyo 1b kama mtu akitaka kutumia laki kila siku, atatumia kwa miaka 54!
 
Back
Top Bottom