Watu wanne wafariki Dunia na mmoja ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Mkoa wa Lindi katika kijiji cha Likahakwa, kata ya Kitomanga.
Kati ya watu waliofariki watatu ni wanawake na mmoja ni...
Nawaomba SUMATRA kuangali upya njia ya daladala zinazopitia Ilala mtaa wa Tabora,Lindi.Arusha,Ilala kuingia Uhuru mpaka Buguruni. Ombi langu mtaa wa Arusha Ilala ni mtaa finyu sana na ina watu...
Habari za wakati wana JF wenzangu __hop e mko salama kabisa .Hoja yangu ni juu ya fani gani inalipa sana kwa sera ya nchi ya sasa na zitakazo kuja kwa upande wa ajira na uwanja mkubwa wa kujiajiri...
Wakuu
Mimi ni mfanya biashara.. Nina fremu nimekodisha kwaajili ya mambo ya mihamala ya mitandao (tigo pesa, mpesa n.k)
Hakuna ninachofanya zaidi ya mihamala... Hivyo sizalishi taka yoyote zaidi...
Katika gazeti la Mtanzania la leo 24/10/2018, nimesoma simulizi ya mlinzi wa Southern Sun Hotel. Sizungumzii yule/wale ambao walimuona karibu na Gymkhana wakampeleka akapige simu, bali nazungumzia...
25 Oktoba, 2018
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea ripoti ya uchunguzi wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere kutoka kwa kamati iliyoundwa na Serikali kwa ajili ya kuchunguza ajali hiyo.
Amepokea...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
KAMATI YA HOJA YA KURA YA MAONI ZANZIBAR.
KUH: HOJA YA KUITISHWA KWA KURA YA MAONI JUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964.
24/10/2018.
Ni furaha...
NIDA TEMEKE mnasumbua watu pasipo na sababu za msingi
Mtu amesha maliza process zote na picha amesha piga mnamwambia akae siku 60 ndio aje kuchukua kitambulisho hivi ni kweli hiyo kazi iliyobaki...
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani limetoa rai kwa wananchi na watumiaji wengine wa barabara kutoa taarifa za uvunjifu wa sheria za usalama barabarani kwa namba 0682887722 na...
Kwa mazingira ya sasa kupotea kwa watu si jambo la kushangaza sana,na jinsi miaka inavyozidi kuongezeka matukio haya yatazidi kwa kuwa uovu nao unazidi kuongezeka!
Swali la msingi la kujiuliza...
Habari wana Jf
Poleni na kazi, pls mwenye uelewa wa haya mambo ya Tanesco naomba anijuze nawezaje kupata meter yangu mwenyewe mpya ya LUKU na itanigharimu shilingi ngapi hadi kufungiwa. Hizi...
Unajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa
Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye...
Kila ambalo limekuwa linaendelea serikali inalijua wazi na uzuri tumepata raisin wa pekee sana. Wizi wote uliofanywa na viongozi wa kisiasa utafichuka tu. Kwa CCM hii mpya inayoendwa kusukwa na...
Ni ukweli wa kiwango cha juu kuwa Vipindi vya TV na Radio Stations zinazo toa elimu ya uchumi, sheria, ujasiriamali, biashara, afya n.k zinachangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo katika...
Anayejua ofisi za uhamiaji zilizoko Posta Dar es Salaam (tofauti na zile zilizopo Kurasini) Naomba maelekezo, Google Map imenipoteza.
Shukran in advance
Taasisi ya NIMR hivi karibuni kupitia mtandao wa Zoom walitangaza nafasi ya Financial Analyst kwa ajili ya kituo cha Mbeya. Muombaji mmoja wa nafasi hiyo Bwana Damson Lwiva ambaye kwa sasa yuko...
Maisha ya shule bhana yana raha na karaha zake, ni maisha ambayo yanawakutanisha watoto au vijana WAKOROFI, WAONGO, WEZI, WAHUNI na WALIMU Wenye visa mbalimbali.
NAMBA 1
Kuna mwanafunzi mwenzetu...
Hii ni zaidi ya KERO!
Foleni hii kwa nini msiitafutie ufumbuzi wa haraka?!Hivi hamuoni madhara makubwa endapo tu tatizo fanani na hilo nililolitaja hapo juu likitukia?
Kwa mfano kwa nini afisa...