Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), limesema linatarajia kuokoa takriban Sh. Milioni 200 kila mwezi, kufuatia kuanza kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo serikalini...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari na wajumbe wa Baraza hilo...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Ama kweli "loose Goat don't know how a tied Goat feeling" Huo usemi niliupata kwenye mafundisho fulani (zamani kidogo) ya "Priority of singleness". Mafundisho hayo yalilenga kumfundisha...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii Serikali ya kitapeli sana walitudanganya kuwa ifikapo Oktoba 5 wangerudisha chaneli za ndani kwa visimbusi vya Azam, Star media na sahara lakini mpaka sasa kimya na hawatoi mrejesho. Wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tangu kupatikana kwa hati chafu katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji imekuwa kama ni fimbo kwa Watumishi wengi hasa kada ya Elimu kwa Walimu as if huo uzembe umefanywa na watumishi wa kada hii kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watumishi wa Idara ya afya wamegundulika kuwa hawana tabia ya kupima afya zao mara kwa mara licha ya kuwa mstari wa mbele kuwahudumia wagonjwa. > Kutokana na mabadiliko ya mienendo ya maisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MSAADA TUTANI 1. Babarabara ya Bibi Titi ilipewa jina hilo mwaka gani? 2. Kombe la Bibi Titi lilianzishwa mwaka gani, na nani, na kwa ajili ya nini?
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Dar es Salaam. Meneja Mkuu wa kiwanda cha mabati cha ALAF na wenzake watatu wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu likiwamo la...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya aina fulani ya watu. It will be beneficial to any sober-minded people. Najizuia kutoa brief ya Nabeel Qureshi (RIP) ili kwa mtu atakaeamua kujifunza kwake afanye...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Habari zenu wakuu, Nimeitwa kwenye usaili utakaofanyika chuo cha kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere, je, hiki chuo kipo wapi? kwa hapa Dsm, mimi nipo maeneo ya Mbagala
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikua kigali week kadhaa zilizopita Nilibahatika kwenda mpaka nje ya mji Kiujumla rwanda nimekaa siku 9 Kiukweli tunavyotiana moyo na kudanganyana hapa jukwaani ni uwongo mtupu Hakuna nchi...
17 Reactions
232 Replies
23K Views
Sisi wachimba wadogo wa madini ujenzi hapa babati tunaiomba serikali yetu itusaidie kusimamia taratibu na sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2010. Kumekuwa na ongezeko kubwa la wachimbaji haramu...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwa matukio ya hawa wanawake wawili...mbona hatuoni hatua zikichukuliwa. Ni nini!??
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Acacia Mining – Fraud, Criminal Dealings & Deception in President Magufuli’s Face. Time for resignations at Acacia Mining & Barrick Gold An open and public letter to Barrick Gold Chairman, John...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau humu ndani juzi kati katika pita pita zangu humu niliona uzi ukisema tbc kufungwa mitambo mipya vipi mwenye mrejesho wowote ule kuna kilichobadilika?....Tbc ukweli na uhakika Nawasilisha
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Hi, Mimi ni kijana na mwajiliwa mpya katika tasnia hii pendwa ya Ualimu, Baada ya kupata post ya kuchaguliwa na TAMISEMI nilifurahi sana na kuandaa ATP kama zote ili kuendana na Kasi ya JPM...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Klabu ya Singida United hii leo imemtakia kilalagheri aliyekuwa nyota wake raia wa Zambia, Lubinda Mundia baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Red Arrows ya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Forbes Releases Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018 - Page 10 of 10 Mohammed Dewji is one of the youngest richest people in the continent of Africa at just 40 years of age. He owns...
3 Reactions
61 Replies
18K Views
Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Watu wanne wafariki Dunia na mmoja ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Mkoa wa Lindi katika kijiji cha Likahakwa, kata ya Kitomanga. Kati ya watu waliofariki watatu ni wanawake na mmoja ni...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…