Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Assalam alaykum. Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni...
2 Reactions
0 Replies
149 Views
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko. Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni. Ina mana ukitaka kwenda Tanga...
5 Reactions
19 Replies
570 Views
Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya? Bado tutaona mengi ========== Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
Wanajamvi habari zenu, Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya...
17 Reactions
86 Replies
7K Views
Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada...
5 Reactions
72 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Ramadhani, Erasto Ngole amesema kumekuwepo na changamotoya kijamii katika eneo hilo ambapo baadhi ya wanawake wanadaiwa kuwatoza fedha waume zao kabla ya kuwapatia tendo la ndoa...
0 Reactions
8 Replies
252 Views
Hapa karibuni kumekuwa na kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari ya jirani, jambo ambalo bila CCTV kungekuwa na tuhuma za kuteka, uchawi na hata kuletea mtuu kuuwawa au kuungwa. Lakini...
3 Reactions
11 Replies
288 Views
Utafiti umeonyesha kuwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kama vie Vega na nyinginezo husababisha vifo. Hii ni kwa sababu huongeza kasi ya mapigo ya moyo ili kusambaza damu kwa haraka na...
3 Reactions
47 Replies
790 Views
Mtazamo (perspective) hubadilisha kila kitu. Katika ubunifu (design), upigaji picha, au maisha ya kila siku, jinsi unavyoweka "lenzi" yako ndivyo inavyoamua mwonekano wa hadithi unayoisimulia...
2 Reactions
0 Replies
93 Views
Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu...
4 Reactions
14 Replies
318 Views
Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth. Unaweza kumuona...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
Afya imeyumba Sana Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa Madeni chungu zima!! Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔 Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator...
18 Reactions
66 Replies
4K Views
Anonymous (a103)
Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao...
3 Reactions
16 Replies
918 Views
Haya makampuni yanataka yawauwe vijana. Wamewapiga kwenye Aviator sasa naona ujinga mpya wa Plinko unaanza kushika kasi. Ukiona idea simple tu, achia kampira (kekundu) kapite kwenye izo maze...
6 Reactions
28 Replies
983 Views
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria...
54 Reactions
254 Replies
30K Views
Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa...
7 Reactions
28 Replies
924 Views
Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji. Ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…