Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wahamiaji hao wamekamatwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Septemba mwaka huu, kati ya hao 5,453 waliondoshwa nchini Aidha, wengine 2,181 wamefikishwa Mahakamani kwa makosa ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza ninyi watajwa hapo juu kwa mchango wenu mliotoa leo kwenye kongamano, nimesikitika kutokuwepo Zzk. Ma prof sijawaelewa kabisa sijui kwavile elimu yao kubwa sana? Mlio karibu...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka mapema jioni jana Barabara hiyo haipitiki maroli yamefunga njia!Hii ni kwa kifusi kilichomwaga na Mkandarasi Strabag bila kushindiliwa (COMPACTION)na Roller na kusababisha magari kukwama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sasa wahariri wengi wa vyombo vya habari hasa magazeti, wapo mifukoni mwa mafisadi. Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Nishati ya umeme ni muhimu kwa ajili ya uzalishaji viwandani hivyo serikali itahakikisha tatizo la umeme kukatika kwenye viwanda linadhibitiwa kwani hali hiyo sio salama viwandani. Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Hii imeniuma sana kama nawewe imekuuma dhihirisha ni kipi hasa kimekuuma kama mimi ninavyodhihirsha hapa chini. 1: Nimeona kijana anakula ugali,baada ya akanawa na Maji safi na sabuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama yangu kipenzi Mama mwenye uchungu wa mwana Mama mwenye watoto kama Mimi Mama unaefariji Nahamia ccm chini ya mwamvuli wako Mama shika usukani tunakulilia mama Mimi na ndugu zangu Mama samia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndg zangu kwa hali ya sasa shule za binafsi wamepata walimu wengi wenye sifa na viwango mbalimbali.Kuanzia ngazi ya cheti, diploma na degree waliohitmu mwaka jana na wanaohitimu mwaka huu. Hii ni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amenusirika kupata ajali wilayani Gairo, Mkoani Morogoro baada ya basi la Hekima za Mungu kuovateki katika kona wakati gari la waziri huyo likiwa...
2 Reactions
58 Replies
19K Views
Baada ya kufungiwa kwa local channel kingamuzi cha azam kimekosa mvuto kwa wale wapenzi wa vipindi vya nyumbani ikiwemo taarifa ya habari! Hata wale wapenz wa mpira wanakosa baadhi ya mambo kwa...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Tuna kikundi ambacho tumefungua akaunti Bank moja ya kizalendo na kongwe hapa nchini, Hiyo Bank walitupa huduma ya kutuma ada zetu za mwezi kupitia simu kwenda Bank, cha kushangaza baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Ndugu mwana JF Iwapo unasoma uzi huu kwa wakati basi naomba tumia muda huu kuwe maombi yako na shukrani kwa mwenyezi Mungu.Kwa dini yoyote na imani yoyote. na Mwenyezi Mungu atakujalia yote uya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari mbaya huvuma sana kuliko habari njema. Miaka ya nyuma ilikua fahari sana mtu kutambulika kama mwenyej wa Dar hasa unapokuwa katika maeneo mengine hapa nchini tanzagiza huku mbwembwe na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
BARAZANI KWA RAJAB Fedha husema, za Saudia huimba pia Na Ahmed Rajab WENYE nguvu Saudi Arabia wamekwishaanza kutambua kwamba zama za kutumia fedha kuwa mbadala wa diplomasia huenda zikawa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nisiwachoshe Niko safari kidogo baada ya kufika safari ikabidi nichukue Lodge.nacheka maana jamaa Wa chumba cha jirani analazimisha kupiga show alafu demu ataki anamwambia ajawahi kupigwa na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapi naweza pata "bulgur wheat"
0 Reactions
8 Replies
991 Views
Zipo jamii ambazo zinaamini kwenye kutairi watoto au hata watu wazima,lakini pia vitabu vitakatifu vimeeleza umuhimu wa tohara. Je, tohara ilianzia wapi na Nini umuhimu wa kutahiriwa na yapi...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Napenda nielemishwe kwa hili. Sheria zetu zinazuia mtu kujichukulia sheria mkononi. Lakini mara nyingi nimekuwa nikisikia polisi kujichukulia sheria mkononi hasa kuua raia kwa kuwadhania kuwa ni...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu. Kwa nyakati mbalimbali kumekuwa na mijadala mingi sana juu ya hatima ya Wamasai waishio Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA). Mijadala hii mbali na kuijulisha dunia...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…