Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taswira Njema ya Taifa ni Mtaji wa Maendeleo ya Wananchi Katika dunia ya leo iliyounganishwa kwa kasi kupitia teknolojia, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, taswira ya nchi imekuwa mtaji...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma. 📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe 📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata 📌Dar...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha. Pia nimesikia hawa...
5 Reactions
8 Replies
243 Views
Anonymous (a103)
Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=. Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la...
4 Reactions
6 Replies
654 Views
Ivi kungekua na tume huru ya uchaguzi, Uhuru wa habari na uwajibikaji wa viongozi yangetokea ya October 29
9 Reactions
7 Replies
214 Views
Mungu wa mababu zetu alimfufua Yesu, yule mliyemuua kwa kumning’iniza mti. (Matendo 5:30) Basi Yesu aliposema: Na asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hastahili mimi. (Mathayo 10:38) Ingepasa...
1 Reactions
6 Replies
221 Views
Tuseme kwamba Mrisho Gambo amechoka kuwa mnafiki? Haya tutayaona mengi sana hadi kufika 2030 ========= Sawa bhana Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda...
3 Reactions
9 Replies
315 Views
Kwa majina anaitwa Yusufu Mhando ni mkazi wa Chanika jijini Dar Es Salaam. Alianza kufanya kazi Tanesco kama Kibarua mwaka 2000 then baadae mwaka 2007 akaajlriwa rasmi. Mwaka huo waliajiriwa...
1 Reactions
9 Replies
224 Views
Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na...
8 Reactions
21 Replies
448 Views
Nianze kwa kuwapa pongezi Gunners wenzangu kwa kubeba ubingwa wa EPL baadae ya kusubiri kwa miaka 24.. Kuna muda ilifika mpaka nikaanza kuamini labda wamiliki wa Arsenal walikuwaga wanacheza...
5 Reactions
17 Replies
450 Views
Anonymous
Kuna baadhi ya baa zinapiga mziki hadi usiku wa manane, sanasana maeneo ya Kinondoni ambapo zipo katikati ya makazi ya watu. Je, mamlaka zimefuta ile Sheria ya mwisho saa sita usiku au kwa sasa...
0 Reactions
8 Replies
171 Views
Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi, Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds...
8 Reactions
12 Replies
352 Views
Moja ya makosa makubwa ya kifedha ambayo watu wengi hufanya ni kudhani kuwa umaskini unasababishwa tu na kukosa pesa. Wakati mwingine, umaskini unasababishwa na watu unaowasikiliza kila siku...
2 Reactions
2 Replies
235 Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari...
1 Reactions
1 Replies
162 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Anonymous
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga . Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya...
6 Reactions
90 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…