Habari ya jioni wana JF
Poleni na kazi za kutwa,
Salamu zangu chache kwa serikali, kuweza kutatua suala hili mapema lisije likawa kama mv nyerere na matukio mengine ambayo huenda yangechukuliwa...
Naingia ulingoni
Mimi bunafsi kama mdau mkubwa wa elimu ya Tanzania najitosa kwenye jukwaa hili na kupaza sauti nikisema vijana wanaomaliza vyuo vikuu waangaliwe kwa jicho la tatu.
Nina maana...
Wakuu
Napenda kuuliza hili suala lina ukweli wowote kwa sisi binadamu yaani ukiwa na sura mbaya utakua pia na roho mbaya yaani kua muda wote utapenda ufanye mambo mabaya kama sura yako.
Na...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma imemuhukumu kifungo cha Maisha, Jevi Msusu (43), mkazi wa kijiji cha Chogola baada ya kumfanyia ukatili mke wake kwa kumkata kidole...
Nipo hapa napata kilaji nikaanza kujiuliza hiki kiswali cha uzushi ila ni la kimantiki ambacho kinanitatiza
Rais wetu anaitwa John Joseph Pombe Magufuli
Makamu wa Rais anaitwa Samia Hassan...
Wakuu ni kama Mara 3 hivi napokea meseji kwenye simu yangu inayoelezea masuala ya dawa za kiganga hasa mambo ya "Ndagu" na zindiko la biashara.
Meseji ya kwanza nliyowahi kutumiwa ilikua inasema...
Habari wandugu,
Napenda kuwashauri ndugu zangu hawa kusoma alama za nyakati angali mapema na kisha wachukue tahadhari ili huko mbeleni wasije kuadhirika/kudhalilika maana dalili ya mnvua ni...
Wakazi wa Kimara na Mbezi Jijini Dar es salaam, wamelalamikia usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi kwa kutoa huduma hafifu, hususani nyakati za asubuhi na jioni, huku wakidai iwapo wameshindwa kuendesha...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii bei ya mahindi imeshuhudiwa ikiwa chini ikilinganishwa na bei ya kipindi cha mavuno. Kwa kawaida bei ya mazao huwa chini kipindi cha mavuno, lakini...
Watu uwa wanadhani kwamba uchawi uko Africa tu ila hata Ulaya uchawi upo na huko Marekani tena marekani watu wanafanya uchawi hadharani. Nchi kama Romania wachawi wamekuwa matajiri mpaka serikali...
Miongozo yote ya dini kuanzia ukristu uislam budha ugallu banunguli baghika tunatakiwa kutoa sadaka zaka na mafungu ya kumi.
Sisi kama taifa hebu tutafakari kama tunastahili kutoa fungu la kumi...
Abiria walikuwa wakisafiri kwa basi la Kampuni ya Maning Nice wamenusurika kuungua moto baada ya basi hilo linalofanya safari zake kati ya Jiji la Dar es salaam kwenda mkoani Mtwara kupata ajali...
Habar wana jamvi?
Niende kwenye hoja ya msingi,leo nmeona kwenye Gazeti moja yakuwa kuna mswada unapelekwa Bungeni wa kutaka Vyama vya ushirika nchini viwe chini ya Benk Kuu!
Niseme ukweli...
Nimemuonea huruma sana leo Mh Wazir Mkuu,
Unajua ni kama mtu akwambie jambo ambalo ni la aibu kabisa ambalo umesababisha na hauna namna ya kukataa.
Mh kaulizwa bei ya Mahindi kushuka sana...
NDOTO ILIYOZIMWA GHAFLA
Kulikuwa na familia moja maskini sana. Ilikuwa familia ndogo ya baba, mama na binti yao wa pekee . Baba ndiye alikuwa mtu pekee mwenye kipato, hata hivyo kipato chake...
Nawaahauri hawa vijana ni bora wakaandika barua za kujiuzulu na kuzirudisha kwa waajiri wao/mamlaka zao za uteuzi maana kazi waliyopewa ya kutetea bwana wakubwa hawa inaonekana kuwa ngumu kadri...
Ndugu watanzania wenzangu naamini mpo salama,
Pole kwa wagonjwa na wale wenye tabu na maswali ya kujiuliza kila kukicha kama mimi,maana jua nalo Kali sana pia fedha kuipata sio mchezo.. kesho...
Katika kuboresha utendaji kazi ndani ya Jeshi la Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi kwa kuwateua Wakuu wa Magereza wa...
Katika kujiongezea mapato ili kuweza kwenda na kasi ya awamu ya 5 ya kuleta maendeleo kwenye eneo lake , kama vile ujenzi wa miundo mbinu nk , Manispaa ya Temeke imeanza Msako wa Leseni kwa...
Kwamujibu wa picha iliyo pigwa kutokea angani kwa hisani ya Ikulu na kurushwa na kituo cha TBC inaonekana maandalizi ya kuanza ujenzi yamekamila.
Ni kweli usio pingika kuwa baraba hii ni muhimu...