Taifa linahitaji kutoa sadaka tuzidi kubarikiwa

Taifa linahitaji kutoa sadaka tuzidi kubarikiwa

Masanja Maguzu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
547
Reaction score
396
Miongozo yote ya dini kuanzia ukristu uislam budha ugallu banunguli baghika tunatakiwa kutoa sadaka zaka na mafungu ya kumi.

Sisi kama taifa hebu tutafakari kama tunastahili kutoa fungu la kumi zaka na sadaka tuweze kubarikiwa na Mungu Allah Maulana Welelo Imana.

Moja ya eneo tunaweza toa sadaka ni hii hospital ya moyo ya JKHI. Hebu tutenge 150bn kutoka makusanyo ya serikali tuwatibu watu kutoka mataifa mengine. Tuwatume madaktari wetu kwenda kwa watu wenye mahitaji duniani.

Hebu fikiria madaktari wametoka Israel kuja kuwatibu msma zetu watoto wetu babazetu. Wangeenda marekani urusi japan siwangelipwa pesa ndefu. Lakini wamejitoa sadaka kuja kwetu. Sisi ni akina nani tusilipe fadhila kutenga pesa kwa ajili ya kujitoa sadaka kwa Mungu?
 
Tutotea sadaka kwa kutumia ANDIKO GANI?

MAANA UKISEMA TUTUMIE ANDIKO LA malaki 3:8-10 ,hilo ni agano la kale na limeshapitwq na wakati kama wasemavyo walokole
 
Tutotea sadaka kwa kutumia ANDIKO GANI?

MAANA UKISEMA TUTUMIE ANDIKO LA malaki 3:8-10 ,hilo ni agano la kale na limeshapitwq na wakati kama wasemavyo walokole
Wamarekani wana usaid. Wajapan jica. Wadenmark danida. Wanatoa misaada mbalimbali ndio maana wanabarikiwa

Sie hii JKHI iwe shirika letu la misaada pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom