LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-
Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi...
Mbele ni mbele tu bongo Nyoso,kunavideo inasambaa huko insta ikimuonyesha rapper mashuhuri dunia bwana Snop dogy akivuta bange katika ikulu ya marekani pale Washington DC bila kuleta tafrani...
Ni kweli, mimi naye ni mwanaume kama ninyi, lakini hili wanalolifanya baadhi ya wanaume wenzangu sitalifanya maishani.
Sifanyi, kwa sababu nampenda mama yangu na kumuheshimu Sana.
Sitalifanya...
Ukiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
Kuna Uzi unaeleza namna tunavyo kuwa programmed kufikiri
Mwandishi ameelezea juu ya movies na athari zake katika kufikiri
Mods naomba Uzi huu ubaki hapa
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Takukuru CP Diwani kwa umma kuwa Taasisi yake imefanikiwa kufanya yafuatayo kwa muda wa miaka mitatu ya utawala wa awamu ya tano.
TAKUKURU 2015-2018...
Hii kauli ndiyo imeshika kasi awamu hii kwa yoyote ambaye atakuwa na mtazamo tofauti na wenye chama basi atakuwa anatumiwa na wananchi wengi wameaminishwa hivyo.
Jambo ambalo limenistajaabisha...
Ni miaka kumi na mbili (12) sasa toka nigundue uwezo/vipaji vyangu katika maisha na mambo mbali mbali ikiwemo Sanaa, Ubunifu, Mziki na mengineyo. Ilikuwa tarehe 28 April mwaka 2006 nikiwa na umri...
WANA JAMVI NAOMBA MNISAIDIE KWENYE HILIMANAKE NI MGENI WA HAYA MAMBO NATAKA KUAGIZA FRIJI NA TV KUTOKA ZENJI ZIJE BARA JE?
.
KUNA USHURU UNABIDI ULIPE MZIGO UKITUA BARA
KUNA MALIPO UNAYAFANYA HUKO...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Aggrey Mwanri ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kaimu Afisa Manunuzi Wilaya ya Sikonge, Silvanus Ndilabika kutokana na kuwepo kwa dalili za ufisadi katika ujenzi vituo...
Hii dunia ina mengi na ubaya mambo mengi mazito yapo katika ulimwengu usioonekana au ulimwengu wa kiroho.
Kuna watu hawasongi mbele kimaendeleo au wanakuwa watumwa wa watu Fulani miaka na miaka na...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale,
Bila kupoteza muda nielekee moja kwa moja kwenye mada yangu.
Tumezoea kuona taasisi husika za kiafya zikipita kwenye maeneo mbalimbali ya kibiashara...
Binafsi mie ni mpenzi wa kufuatilia habari ila tangu mwaka 2007 sijawahi kununua gazeti lolote maana kila uchao redio zinanisomea magazeti Asubui mapema tena kwa kunibembeleza kuniita "mpenzi...
Maisha yetu ni reflection ya akili zetu, (We Become What Think About) tunachowaza akilini mwetu ndicho kinachojionesha katika maisha yetu ya kawaida.
Hakuna yeyote ninayemfahamu aliyepata...
Hasa kwa wale tunaonunua package za kilo 5 hadi kilo 10 kwa ajili ya familia kuweni makini, jaribuni kuchekecha hzo nyunga kabla ya kupika na mtajionea wenyewe.. Hili limenitokea zaidi ya mara...
Wadau Habari za muda huu...
Wakati serikali ikisisitiza sera ya elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari, nadhani pia kuna haja ya kuangalia ubora wa elimu na mazingira ya maeneo...
Nimejaribu kufuatilia sana kwa muda mrefu automatically nimejikuta kama nafanya research. Watu wengi mawazo yao kabla ya kuwa na hela ni mazuri kuliko akiwa tayari na Pesa.
Pengine sioni ajabu...