Je Inawezekana?

Je Inawezekana?

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,152
Reaction score
6,601
Ni miaka kumi na mbili (12) sasa toka nigundue uwezo/vipaji vyangu katika maisha na mambo mbali mbali ikiwemo Sanaa, Ubunifu, Mziki na mengineyo. Ilikuwa tarehe 28 April mwaka 2006 nikiwa na umri wa miaka sita (6) nilipoweza kumchorea base plan ya bunduki na characters mbalimbali kwa ajiri ya Video Game kaka yangu mwenye miaka kumi (10) wakati huo, akiamini tungeliweza kuliuza na kutuingizia fedha

Tukiwa kama ndugu tulishirikiana katika kufanikisha hilo kupitia Computer za nyumbani zilizokuwa mbili na TTCL Regional Office zilizokuwepo kwa kuibia pale tulipoingia ofisini hapo kumtafuta baba kwa mara kadhaa, kaka yangu alinizidi utundu uliopelekea kujua mambo kidogo kuhusu programming huku akijaribu kila namna ya kunifundisha mimi pia maana tulikuwa na maono ya maisha bora mbeleni bila kumtegemea baba wala mtu yeyote, tulifanikiwa katika utengenezaji wa hilo Video Game kwa asilimia 70% huku tukihitaji nguvu na support ya watu ama serikali katika kuliuza kwa kampuni za utengenezaji kama Rockstar Games na EA Sports ambazo tulizifahamu kupitia games. Kuona hilo tulishikana mikono na kuelekea ofisi za manispaa na mkoa kuzungumzia hilo suala lakini majibu hayakuridhisha wala kutusaidia, tulipata wazo la kuwasiliana na Rockstar Games pamoja na EA Sports kupitia access ya Internet (emails) tulikutana kijana mwenye asili ya Asia/India ambaye kwao walikuwa na mfumo mzuri wa internet.

Tulifanikiwa kuwasiliana na EA Sports huku Rockstar ikiwa vigumu na majibu ya EA Sports yalitanabaisha ili waweze kupokea hilo game letu lazima kuwepo na documents na mchango wa serikali ya Tanzania kwa start-up projects/company lakini tulishindwa kupata msaada labda kwa kuwa Tanzania haiwezi ku-fund start-up projects au companies. Wazo, nguvu na akili tuliyotumia aliishia hapo bila mwendelezo huku kaka yangu akijikita katika Programming huku tukiendelea na shule kama kawaida.

Katika kuendelea na hayo yote mifumo hii hatukiacha mnamo mwaka 2007 nikiwa na miaka saba (7) niliweza kutengeneza Beats/Audio base ya mziki lakini ni nani angeliweza kuitumia ilhali kila kitu kipo Dar es salaam na mimi nipo mkoani?
Niliamua kutafuta connection nje na zamu hii bahati ikadondokea Hoofellür Gmbh ya nchini Germany, niliweza kuwauzia Beats hii kwa $86 wakati huo. Huku nikiweza kurealese mixes mbalimbali kama Zum Kaichi by Don Omar, Hips don't lie by Shakira na Boot ya Alicia Keys (Mixies) chini ya mkono wangu na nikiwa na umri wa miaka 7.

Designing, Music and Arts

Kila mara nilipenda ubunifu, uchoraji na muziki, nimechora kwa mkono wangu picha zisizopungua 100 na Digital arts zisizopungua 450 tokea nikiwa na umri wa miaka 6. Na baadhi ya kazi zangu utazikuta katika kuta za Köln Germany, Nizhniy Novgorod Russia, Klagenfurk Austria, Laussane - Winterthur - Zurich Switzerland, Clement Ferrand France na Caracas Venezuela.

Miaka yote hiyo nimesoma huku nikifanya haya mengine kwa part time na uwezo darasani na maishani naamini ninao maana Nursery na Pre-Primary nilikuwa nikifisha 470/500 na 500/500 kwa miaka miwili, huku Darasa la kwanza hadi la Saba nikiwa nachezea wastani wa 95& hadi 83% na mtihani wa taifa darasa la saba nikiwa nimebeba A-4 na B-1 (Na sio A au B ya miaka hii ni ya miaka ya 2006 hadi 2013). Na katika Kidato cha pili nilikuwa na Merit japo Kidato cha nne ndio kilichonishangaza kwa kuwa na Division 4 (2017) hii ni ajabu kwangu.

Huwezi kuamini matokeo ya elimu ya darasani Tanzania yanafuta wema au mazuri yako yote kwa dakika.

Licha ya hayo najiamini na naamini ninao uwezo mkubwa katika nyanja tofauti huku nikiamini katika Arts na Science, mimi ni
Artist - Michoro takribani 500 katika nchi tajwa hapo juu na Weplay Music Headquarters Köln Germany.
Producer & DJ - Nimetengeneza pre-loops za wimbo wa Ain't Nobody wa Felix Jaehn na Jasmine Thompson, Kicks na Loops za Oh! Child wa Rob Schulz na Piso21, Beats za MBP, Transitions za Ciao Bella wa Hugel na nyingine nyingi
Visual effects artist - Ciao Bella vd, Pikja vd, The Belt (Fear Off) mv.
Multimedia artist - Nimefanya freelance job na Warner Bros German, Boothaus, Spinnin' Records, Weplay Music CNG
Graphic artist - Boothaus, Warner Bros Music Germany, Merci, Spinnin' Records, Kontor na Freelance, TONSPIEL
Analyst - Primenich.TV (Germany and Switzerland) as young analyst katika kipindi cha Sub4Hubs nikiwa live from Tanzania nimebase (Diplomatic, Geographic na Sports)
Author - Pure Determination, We Inherit?, I am (Naendelea kuandika)
Gamer - Baaze Online World, 4th Position, Pia kupitia Twitch
Architecture - Fah!reinheit House (Osnaback Germany) Shule X (Tanzania) House X (Tanzania)
Programmer - Boothaus App, TONSPIEL App (Nafahamu kidogo lugha za computer kama C, C+, Java, Ruby, Python, HTML)
Social Media Manager - Weplay Music, TONSPIEL, Boothaus, Coffoor, Zueik na Jadiem.

Hivyo basi naomba mwenye uhitaji wa kutumia mawazo yangu awekeze katika mimi nina idea nyingi na chanya juu ya mambo mbalimbali, lakini kikwazo kikubwa ni capital maana kutokana na yote niliyoyafanya hayakuninufaisha moja kwa moja na mpango nilionao kwa sasa ni Kusambaza kazi zangu za sanaa hasa Wall Arts katika miji yote Tanzania ambazo nitaziweka katika maeneo tofauti ya uwazi ili kuipendezesha miji na kuingiza kipato kupitia sanaa.

Director Cosmopolitan [emoji120]
 
Kazi hizi nimezifanya nikiwa Tanzania na uwezo huu sikuupata wala kufundishwa shuleni ni SELF TAUGHT.

Hivyo basi naomba mwenye uhitaji wa kutumia mawazo yangu awekeze katika mimi nina idea nyingi na chanya juu ya mambo mbalimbali, lakini kikwazo kikubwa ni capital maana kutokana na yote niliyoyafanya hayakuninufaisha moja kwa moja na mpango nilionao kwa sasa ni Kusambaza kazi zangu za sanaa hasa Wall Arts katika miji yote Tanzania ambazo nitaziweka katika maeneo tofauti ya uwazi ili kuipendezesha miji na kuingiza kipato kupitia sanaa.

Nina umri wa miaka 18, elimu Kidato cha nne. Nina uwezo wa kuongea na kuandika Kiswahili na Kiingeleza, German na Spanish kwa kiasi kidogo.

Director Cosmopolitan [emoji120]
Hongera kijana, kipaji kitakutoa uwaze kuhusu elimu, Mungu akutangulie
 
Hongera sana! Amini katika unayoyafanya,ipo siku kimoja kitakupeleka mahali! Muombe sana Mungu pia! And,make sure you document each and everything that u do
 
Uwezi jinadi kama hivyo bila kuweka kazi yako hata moja hapa.

Unaposema A au B ya wakati huwo unamaanisha nini ?.

Naamini kipaji ulichonacho kuchora ujuzi wa mambo mbalimbali kwenye computer mtu ukijifunza unajua tu.
 
Hongera sana! Amini katika unayoyafanya,ipo siku kimoja kitakupeleka mahali! Muombe sana Mungu pia! And,make sure you document each and everything that u do
Ndio ninavyofanya siku zote
 
toa mfano wa kazi yako moja otherwise itakua ni hadithi za alfu lela u lela, karkamakenda amekataa kwenda shule, esopo.....
 
Back
Top Bottom