Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anaandika Michael Mbiti BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WETU. Historia Inafutika Tanzania, Tunaweka Wapi Utu Wetu? Ndugu Viongozi Tuliowapa Dhamana, Leo ni Mei 21. Siku ambayo miaka ya nyuma...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe...
0 Reactions
3 Replies
142 Views
Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya...
3 Reactions
2 Replies
191 Views
Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion! Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji...
9 Reactions
51 Replies
975 Views
Kama ushawahi kufanya biashara ambayo inapita gizani au haramu ni ngumu sana kupelekana kwenye haki na cha zaidi mtabaki kuangaliana au kuumizana wenyewe. Kwa utawala huu ni wazi kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna...
5 Reactions
17 Replies
315 Views
Kupitia bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar iliyowasilishwa Mei 19, 2026 inaonyesha idadi ya maambukizi ya VVU inaongozwa wanawake. Watu waliopimwa ni 129, 741 wanaume 57, 615 na wanawake 72, 126...
3 Reactions
7 Replies
237 Views
3,000,000,000 Shilingi za kitanzania Bilioni TATU tu, ndicho kiasi nilichohitaji kuingia kwenye biashara ya mafuta,nilitaka kununua kituo Cha mafuta kilichoko potential kabisa jijini Dar es...
13 Reactions
102 Replies
2K Views
Imesimuliwa na Ibn Abbas (ra). Umar Khattab Alimjia Mtume Muhammad (ﷺ) na kusema: Ewe Mjumbe wa Allah! Nimeangamia! Mtume (ﷺ) Akasema, Kwanini Umeangamia? Umar akasema, Jana usiku nilimgeuza...
3 Reactions
32 Replies
473 Views
Mkuu wa Kitengo cha Mifumo Mbadala ya kidigitali wa Benki ya Exim Silas Matoi (Aliyekaa Kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo Exim WhatsApp Banking unaolenga kuwawezesha wateja wa Benki...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Tafadhali chukua hatua za dharura na za haraka ili kuokoa afya za watanzania wanaoishi dar es salaam Kuna haya magari ya ukubwa wa canter lakini either ni ya china au india yameelekezwa bomba la...
2 Reactions
8 Replies
161 Views
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa. Jiulize, kwa nini PM...
4 Reactions
16 Replies
380 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa...
0 Reactions
8 Replies
200 Views
Tutaanza kuishi endapo tutaiacha ego mfukoni. Watu wengi wanaishi katika mifungo ya mawazo Yao wenyewe. Here's to destroying our own egos. Cc meghan markle
2 Reactions
6 Replies
123 Views
Jeshi la Polisi lilifika Makao Makuu ya Chama na kumtaka David Djumbe kwa mahojiano. Jumbe akishuka kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es salaam.
0 Reactions
3 Replies
301 Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Mei 20, 2026 amezindua rasmi Basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akizungumza mbele ya Watumishi, Mrindoko amesema Basi hilo...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…