Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka...
3 Reactions
3 Replies
248 Views
The Legal and Human Rights Centre (LHRC) has called upon the government of Tanzania and responsible authorities to fully implement the decision of the High Court of Tanzania declaring Regulation 8...
3 Reactions
4 Replies
182 Views
Wiki iliyopita Jaji mkuu wa India, Surya Kant, Aliwalinganisha, vijana wasio na ajira na Mende (Cockroaches). Suala ambalo likazua mijadala mingi mitandaoni. Wiki hii, kijana mmoja wa...
6 Reactions
16 Replies
286 Views
Nusu waniue leo! Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi! Asee nikapewa advance jana hiyohiyo...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
Baada ya Hilda Newton kumuanika Fortunus Buyobe mwamba alikuwa na wakati mgumu. Story ilikuwa juu yake kila. Kila akijaribu kujijitetea kwa kuposti risiti za AI wapi. Fortunus akatrend. Hatimaye...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Kichwa habari hapo juu, nimeshtuka na mpaka mda huu nimeamka naona nijiandae tu kwenda kazini. Sijui hii ni nini, niliacha kukojoa nikiwa na miaka mwaka Moja na nusu kwa maelezo ya mamangu. Jana...
20 Reactions
114 Replies
8K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange ameeleza kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi anayetekeleza mradi wa maboresho ya Kituo cha Kufua Umeme cha Hale kutokana na kuchelewa kukamilika kwa...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira...
4 Reactions
10 Replies
418 Views
Arusha. Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Mageuzi ya Kimkakati ya Mazingira Endelevu Tanzania katika kilele cha Siku ya Mazingira Duniani (WED) ambapo kitaifa...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Mathayo 26:14-15 TKU [14] Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alikwenda kuzungumza na wakuu wa makuhani. [15] Akasema, “Nikimkabidhi Yesu kwenu, mtanilipa nini?”...
4 Reactions
10 Replies
191 Views
Makonda na Mafwele ni viongozi katika taifa letu na wana wajibu mkubwa wa kusaidia mashindano ya afcon 2027 yanafanyika kwa kiwango kikubwa na ufanisi. Hivyo kwa nafasi zao nawashauri kwa nia...
3 Reactions
2 Replies
106 Views
Anonymous
Hizo picha hapo ni kipande kilichopo mbele kidogo ya Kibaigwa kama unaenda Dodoma kwa kutazama inaonekana ujenzi umekamilika ila barabara haijafunguliwa mpaka leo ni zaidi ya miezi miwili tangu...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi...
1 Reactions
0 Replies
87 Views
Kwa asivyo na mambo mengi, sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani? For sure, Marco Rubio...
0 Reactions
8 Replies
137 Views
Anonymous
Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme. Mpaka leo nyumba takribani mia mbili...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Anonymous
Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Bandari ya Kemondo(Kagera) kumekuwa na matukio yasiyofaa ambapo walinzi katika eneo ilo wamekuwa wakitumia kigezo cha kutokuwa na vitambulisho kuomba rushwa. Lakini pia idara ya ulinzi ya eneo...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Wanasayansi wapo hatua za mwisho kukamilisha teknolojia ya Mind Uploading. Huu ni uwezo wa kuskani ubongo wako, kuchukua ufahamu wako wote (kumbukumbu, akili, na tabia), na kuuhamishia kwenye...
2 Reactions
18 Replies
256 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…