Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watutsi walivyo fika Rwanda walikaribishwa na wahutu na watwaa na wote kwa pamoja waliishi kwa upendo mkubwa sana. Wahutu waliwakaribisha watutsi kwa sababu watutsi walisifika kwa kuwa na uwezo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kusikia kuwa baadhi ya mawakili wameunda umoja wao wa kugomea kutoa michango ya jengo la mawakili nimesikitika sana kama mdau. Wadau tunaokitakia mema chama cha mawakili wa Tanganyika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nataka kujua kwa uelewa wako baada ya Rais wa Jamhuri kuzindua ugawaji wa vitambulisho hivi vya mjasiriamali mdogo chini ya mtaji wa sh 4mil je nini ni Faida ambazo mjasiriamali na serikali...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station--2,100 megawatts UMEME KUPUNGUA BEI ,VIWANDA KUONGEZA AJIRA, KUUZA UMEME NJE.. return yake (faida) tungeanza kuiona mapema
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimebahatika kupata kazi katika chuo kimoja cha elimu cha Botswana, baada ya kukosa ajira Tanzania. Sasa nauliza wadau mnaojua machache kuhusu nchi hii mnijuze.
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Kila siku katika maisha yako hakikisha unafuata sheria na hujiweki au kufanya jambo katika mazingira ambayo yatahatarisha uhuru na usalama wa maisha yako. Kweli misemo ya kiafrica ukiifuatilia...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Mzuqa Yani utakuta mijitu inachezea pesa kusafiri maili na maili kuja kupanda mlima tu na hawaogi siku saba nzima kufika kileleni kilimanjaro. Mengine eti yanaenda kuona ndege bird watching na...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni ya kumeza dawa ya kinga ya magonjwa ya minyoo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#DUNIAYAKO No.1 Tuliambiwa kijana anaitwa Obama, kijana mweusi kutoka Afrika Mashariki, Kenya. We! Utachekwa. Muulize aliyekuwa makamu wa raisi Dick Cheney atakuambia Obama ni nani, mbele ya macho...
4 Reactions
75 Replies
20K Views
Kuna jamaa ameanzisha uzi humu akiomba ushauri wa kuwa Vegetarian. Kwa vile uzi huu unagusa kila mtu nimeona niandike hapa ili kila mtu afaidike na historia yangu ya kula nyama. Mwaka 1993 ndo...
38 Reactions
240 Replies
31K Views
Nyumba 157 yakiwamo majengo ya serikali zimebomolewa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha juzi Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na fikra ya hoja ya vyuo feki Tz ambavyo havibadiliki na kuendana na "slogan" ya nchi -"Tanzania ya Viwanda". Vipo vyuo ambavyo vinaendesha...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Kuna tofauti ya kupanda na kushuka kwa bei za mafuta Kenya na Tanzania, wakati Kenya bei ikishuka kwa ksh 4.57 ambayo ni sawa na Tsh 100, Tanzania bei ya mafuta imepanda kwa Tsh 40 petrol, 50...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Siku hizi Tz kila mmoja hujifanya mtaalamu wa lishe na afya. Hivi vipindi vya Tv vya akina Dr.Ndodi, Dr.Mwaka ambavyo viko kibiashara vimewatia watu ujinga sana. Wanachofanya ni kuwapa watu hofu...
24 Reactions
187 Replies
18K Views
Britain’s Fraud Office Investigates Acacia Mining The allegations over corruption in Tanzania are also being looked at by Tanzanian officials Barrick Gold Executive Chairman John Thornton has...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Thanks to China Government, naona Lile Jengo jipya limefanya walau chuo chetu kirejeshe hadhi ya Chuo kikuu, Again, as we may be aware, UDSM ndio Chuo Mama Tanzania, asilimia kubwa ya wataalamu...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Sio kila mmoja hufurahia kula peke yake, Baadhi ya watu hawapendelei kula peke yao huku wengine wakihofia huenda wakijihisi upweke kiasi cha kupoteza hamu ya kula chakula. Uchunguzi mdogo...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Tokea saa 8 mbagala Kijichi Hatuna Umeme hadi saa hizi inaenda saa tano na si Leo tu wiki yote ni kubahatisha tu unakatwa unarudi na joto hili aisee mnatutesa sana ! Mbaya zaidi hakuna taarifa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dodoma. Watu watatu wa familia moja wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba waliyokuwa wakiishi huku miili yao ikionyesha kuwa wamechinjwa. Tukio hilo lililotokea katika kijiji cha Mayamaya kitongoji...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…