mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
Nilishawahi kusema siku za nyuma kitendo cha mheshimiwa joyce ndalichako kuwa waziri kinanitia mashaka mbaya zaidi kwa wakati ule tuliwekewa na naibu wazir mh.stellah manyanya ambaye yeye kitaaluma ni muhandisi.Nilijiuliza swali dogo sana hivi watu ambao hawajawahi kumanage elimu wanaweza kutuvusha kweli.....
Nilijiuliza pia huyu wazir si ndiyo yule aliyewahi kuwa katibu NECTA na ndiyo katika kipindi chake mitihani ili ongoza kuvuja sana mpaka kuamua kuondoka kwenda kusoma........
WAPI IMEKOSEA
Mpaka sasa wizara imeshindwa kuja na mipango mikakati ya kuboresha elimu yetu baadala yake imekuwa ikija na matamko mengi kama :-
(a)kushindwa kuutambua mtaala mpya
Hili kwangu ni kubwa na laajabu waziri anasimama bungeni anasema hawatambui uwepo wa darasa la sita baadala yake anatambua lilelile la lasaba.....
Anashindwa kufahamu tunadarasa la nne la mtaala mpya ambalo wenyewe wanasoma mwisho darasa la sita.Yaani waziri ameshindwa kuwa na cordination na vitengo vyake......
Ajabu zaidi wiki chache baadae tunaambiwa tukusanye vitabu vyote vya zamani virudishwe tuletewe vya mtaala mpya sasa unajiuliza hivi hawajui kuwa waziri aliukana huo mtaala bungeni........
(b)kutoa na kurudisha ukariri wa madarasa
Wizara hii ya elimu ilipiga marufuku mtoto kukaririshwa darasa kwa shule binafsi au za serikali na ikasema atakayefanya hivyo atachukuliwa hatua kali za kiaheria.Wanasahau kuwa miongoni mwa mbinu hata wao waliitumia ni hiyo ya kukariri......
Ilifika sehemu wakadai mzazi analalamika kwa kuwa watoto zao wanakaririshwa bila utaratibu.swali hivi mtoto asipo fikisha wastani nini kifanyike.....
Ajabu zaidi wamerudisha kukariri darasa kwa madai eti mzazi amelalamika tena.Swali mzazi siku hizi ndiye mwalimu akilalamika yeye nakutoa ushaur wa kielimu anasikilizwa kuliko mwalimu mwenyewe......
(c)matumiz ya wimbo wa taifa na rangi za bendera
Hili ni laajabu tena mnaacha kufuta mtihani wa kubet( mtihani wa kushade) wa kumaliza elimu msingi mnaenda kwenye kubadili rangi ya bendera.....
Leo hii walimu wanapata tabu kufundisha kuhusu baraza la mawaziri kutokana kila leo wanabadilika mnatuletea mabadiliko mengine
MY TAKE
Hisia zangu zinaniambia hii wizara wengi wanafanya kazi kwa mazoea au wengi ni ndugu mule hivyo ule weledi na ufanisi unakuwa haupo......
Nahata mambo wanayofanya au kushauri si kwa maslahi mapana ya elimu bali ni interest binafsi.......