Ukisoma historia ya mataifa yaliyondelea kiviwanda elimu nk yalipitia wakati mgumu sana tena sana vita ukatili wa hali ya juu mpaka biashara ya utumwa ni tu kuendeleza nchi zao iliwachukua miaka...
Wakuu,
Kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha Luten General yuko kwenye jeshi la Marekani.
Kuna mwenye data za huyu jamaa?
Kuna mwanasiasa aliwahi sema utawala huu wa awamu ya 5 unaweza uwe ndio utakaokua umetumia pesa zetu vibaya, kutuachia madeni ya ajabu na ufisadi wa hali ya juu.....
HII MIRADI YA MATRILIONI...
Kwani kutoa fedha kwa ajiri ya kitu ambacho sio chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisicho shibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono @pastorwinner...
Rebeca ni mwanamke wa kitanzania na mwenye umri mdogo kulinganisha na mambo aliyoyafanya kwa ustawi wa wasichana wa tanzania kupitia shitika lake la msichana initiatives.
Aliweza kuchallenge...
Wakuu hali ni mbaya kariakoo na viunga vyake, wamachinga wamefunga mitaa yote na baraza zote, hili jambo mkuu baba alizungumzie, hii nchi ni yetu wote, sio wamachinga peke yao. Muheshimiwa baba...
Waungwana kwa huyo bajeti naweza kuishi dar kwa siku ngapi msimu huu wa sikukuu kwa maana malazi ya hoteli na misosi Na misele yetu ya mimi pamoja na manzi wangu sisi tunatoka mkoani huku.
NB
Gari...
Unapowazungumzia waandishi habari hapa Tanzania wa idhaa za kiswahili kimataifa huachi kumtaja bibie Dinna Chahali...mwanamama huyu amekuwa ripota wa SAUTI YA AMERICA VOA Swahili service kwa muda...
C & P
ANDIKO LA KIHISTORIA.
AMEANDIKA Rev Dr. Daniel Mono phd wa KKKT DKMZV.
WAANDALIE WANAO URITHI
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; MITHALI 19:14
Urithi ni kumilikishwa mali ya...
Nimeipata mahali mwananchi online.
KILA KITU ‘ndiyooo’
Jana tu nilikutana na spika wangu akiwa katika foleni pale Ubungo. Mbele yake kulikuwa na gari linalopiga king’ora. Nikajua anawahi hafla ya...
Wakuu,
Kwa takribani dakika 3 (haitazidi) JF inaweza kuwa na errors kwa baadhi ya wateja na niwaombe kuwa watakaokutana na tatizo ndani ya dk 10 zijazo waelewe kuwa kuna kitu tunafanya kuimarisha...
Januari mwaka 2018 tulihamasisha wananchi wa vijiji vinavyozunguka Kijiweni (kijijini Chifunfu) wilayani Sengerema; kuanzisha ujenzi wa shule kwa ajili ya kuondoa tatizo la watoto kutembea umbali...
Waziri wa uchukuzi Tanzania bila aibu alisimama mbele ya rais na akaanza kukejeli na kuchekelea anguko la Fastjet, cha kushangaza hiyo Fastjet leo hii zaidi ya nusu yake inamilikiwa na Mtanzania...
Jeshi la Polisi Jijini Dodoma linaendelea na misako katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo ambapo limefanikiwa kukamata watuhumiwa 64 wakiwemo Wezi, Makahaba na Wauza Madawa ya kulevya...
Mimi kusema ukweli ni kucheza kwenye mvua.. Tena bonge la mvua hadi guruguru(ile miungurumo) inapiga wala sihofii.. Nlikua nafurahia mno
Miungurumo ikipiga na mimi nascream
Yani nkiona wingu tu...
Habari wana JF,
Nimebahatika kuangalia video nzima ya ufunguzi wa barabara ya njia nane huko nyumbani Tanzania. Kimsingi, kabla sijaangalia video yote nilivutiwa sana na hotuba fupi na yenye...
Habari wana jf.
Sisi sote ni ndugu hivyo si vyema kubaguana
Uongo unatabia ya kugeuka kuwa ukweli endapo Ukiachwa bila kukanusha, kumekuwa na kamsemo kuhusu wanamume tuishio Dar kuwa tumelegea...
Habarini wakuu,hivi chanzo ni nini?.Nimechunguza kwa watu wengi(kama si wote) including me,kila nikilalia mgongo nyakati za usiku lazima niote ndoto za kutishatisha tu.Sijawahi kulala...