Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,577
- 12,334
Ukisoma historia ya mataifa yaliyondelea kiviwanda elimu nk yalipitia wakati mgumu sana tena sana vita ukatili wa hali ya juu mpaka biashara ya utumwa ni tu kuendeleza nchi zao iliwachukua miaka dahari kuja kusitaarabika kama tunavyowaona leo halafu sisi kiwepesi tu Tunatamani tuwe kama wao hiyo haipo Dhahabu safi ni lazima ipitishwe kwenye moto mkali sana ili iwe safi
Muwe na jioni njema
Muwe na jioni njema