Hii miradi inayotekelezwa kila siku kwa mkopo itatugharimu badae

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Kuna mwanasiasa aliwahi sema utawala huu wa awamu ya 5 unaweza uwe ndio utakaokua umetumia pesa zetu vibaya, kutuachia madeni ya ajabu na ufisadi wa hali ya juu.....
HII MIRADI YA MATRILIONI ITATUNUFAISHAJE NA KWA NN TULAZIMISHE ITEKELEZWE KWA MIKOPO?
TUNA HARAKA YA KWENDA WAPI?
kuna ule wa gesi mtwara ulishamalizika sijaona faida yake
2.huu wa treni ya umeme
3.barabara na madaraja
4.stiglers gorge na mingine mingine mingi....
HII MIRADI ITAKUJA KUTULE
 
Kwani sisi watanzania mbona kilakitu tunalalamika, Tunataka nini hasa?
 
Tatzo we've not a priorities as nation, tunaendeshwa na utashi wa wana siasa.
 
Kuna mwanasiasa aliwahi sema utawala huu wa awamu ya 5 unaweza uwe ndio utakaokua umetumia pesa zetu vibaya, kutuachia madeni ya ajabu na ufisadi wa hali ya juu.....
HII MIRADI YA MATRILIONI ITATUNUFAISHAJE NA KWA NN TULAZIMISHE ITEKELEZWE KWA MIKOPO?
TUNA HARAKA YA KWENDA WAPI?
kuna ule wa gesi mtwara ulishamalizika sijaona faida yake
2.huu wa treni ya umeme
3.barabara na madaraja
4.stiglers gorge na mingine mingine mingi....
HII MIRADI ITAKUJA KUTULE
Leo nimemsikia Mh Rais anasema mkopo toka Korea lakini mradi wa Stiegler's Gorge sijamsikia Mh Rais anasema mkopo pia reli ya SGR Dar-Dodoma sikuwahi na wala sijawahi kumsikia Mh Rais akisema tumekopa.
 
Kuna mwanasiasa aliwahi sema utawala huu wa awamu ya 5 unaweza uwe ndio utakaokua umetumia pesa zetu vibaya, kutuachia madeni ya ajabu na ufisadi wa hali ya juu.....
HII MIRADI YA MATRILIONI ITATUNUFAISHAJE NA KWA NN TULAZIMISHE ITEKELEZWE KWA MIKOPO?
TUNA HARAKA YA KWENDA WAPI?
kuna ule wa gesi mtwara ulishamalizika sijaona faida yake
2.huu wa treni ya umeme
3.barabara na madaraja
4.stiglers gorge na mingine mingine mingi....
HII MIRADI ITAKUJA KUTULE
Hama nchi.
Kwani ni lazima uishi Tanzania? Awamu zilizopita nao walikopa sana, tofauti yao na hii awamu ni kwamba walikuwa wanakopa kwa siri na kutumia hiyo mikopo kwa siri.
Awamu hii kwa asilimia kubwa ikikopa inafanya mambo yanayoonekana.
 
Back
Top Bottom