Habari wana JF
Kuna utekaji umetokea hivi karibuni Geita, (maeneo ya Nyankumbu kwa wale wanaoufaham mji wa Geita)
Ipo hivi, kuna dereva pikipiki maarufu kama bodaboda alipigiwa simu kwa namba...
Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini?
Maskini ni watumiaji...
habari
nimeanzisha huu uzi mahsusi kabisa kwa ajili ya wale wanyonge walionyongeka
kunyongeaka ni nini? kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa mnyonge sababu ya haki zako kupindishwa kwa namna fulani...
Na declare before you kuwa nidhahiri Mimi siyo mchambuzi mzuri wa mambo,
Ila udhaifu wa BUNGE hili naona sehemu moja kuu, nayo ni baada ha Spika wa BUNGE, Jobu kung'aka baada ya kauli za Assad...
KUANZIA sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeamua kila siku ya Alhamisi, itakuwa ni siku maalumu kwa ajili ya mameneja wa mikoa na wilaya nchini, kuwasikiliza na kutatua changamoto za...
Wazanzibari kudai kiti chao Umoja wa Mataifa
Na Ahmed Rajab
MARA nyingi, kama si mara zote, historia huwa kama mkufu wa matukio ambayo kama yasingekuwa basi mkondo mzima wa historia ungegeuka na...
Ofisi ya CHADENA kata ya Liwiti hapa Tabata Magengeni pembeni ya benki ya CRDB tunaweza kusema imekufa baada ya kubadilishwa matumizi na kuwa kibanda cha kuuza chipsi na mishikaki.Baada ya...
ongezea, kosoa au boresha chochote katka hizi chache, Ongezea yoyote.....
1:SINGAPORE
ni marufuku kutafuna Big G au Jojo (ie Chewing Gums) ukibainika faini hadi $1000, itumike kwa sababu za...
KATIKA kukuza sekta ya utalii nchini, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limeanzisha chaneli ya utalii inayoitwa ‘Tanzania Safari Channel’, iliyoanzishwa kwa ushirikiano na wadau wengine wa...
OCD WA wilaya ya kibindo mkoa kigoma amefaruki dunia Mungu alitoa mungu ametwaa amina ,nitamkumbuka alipo kataa kutoa ushilikiano wakati mwenykit wa halimashaur kibondo alipo kamatwa na wasio...
Rushwa yawafukuzisha kazi Askari saba
Jeshi la Polisi Tanzania leo, Januari 11, 2019, limewasimamisha kazi askari saba (7) wa vyeo mbalimbali kwa kutenda kosa kinyume na mwenendo mwema wa Jeshi...
Duniani kuna mambo mengi yanayowasikitisha watu lakini kwangu Mimi jambo kubwa linalonisikitisha hapa Duniani
Ni pale MTU anajijua ni mwathirika wa UKIMWI lakini unakutana anabanana na vibinti...
Uwa napeleka samaki wakavu maeneo ya newala,tandahimba,na masasi...
Hawa madereva wa jeshi wanaendesha rafu sana hawajali chochote ..iwe mvua,mashimo wala makorongo......
Hizo leseni mmepata wapi...
Njia moja ya kuwabaini wahubiri hawa ni kwa sauti za kuigiza wanazozitumia (wote wanatumia sauti ya mhubiri wa Kijerumani aliyetembelea Tanzania miaka ya 90) na wahubiri wengi wa Tanzania waume...
Nije kwenye mada moja kwa moja,
Miaka hii kumekuwepo na tabia ya watu kupost vipicha picha wakiwa wamepigwa au kujiself wenyewe pindi wanapokuwa wamelazwa hospital hii inatokana na nini?
Miaka...
Tunapoandika au kukosoa ni lazima tutumie lugha ya staha na ustaarabu hasa tukibahatika kutaja jina la kiongozi wa nchi.
Kiongozi wa nchi ni binadamu ana historia yake na mapungufu yake lakini...
Wanabodi
Biashara ya madini ni complex sana. Nilishawahi kuandika namna Mturuki yule wa Mikocheni alivyokuwa ametapeliwa na mapolisi na kuwachoma visu polisi. Yote hiyo ni michezo.
Dhahabu ya...
HII NCHI INA VITUKO VYAKE
Nimesikia Tamko la naibu waziri Tamisemi kuwa hata kama Mzazi hajalipa Ada katika Shule za Private Mtoto asisimamishwe au Kufukuzwa.
Ada ya Private huwa inatumikaje...