Mkoa wa Dar es salaam umetekeleza maelekezo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kuanzisha Bima ya Afya ya Wananchi ambayo inawawezesha wafanyakazi walio kwenye Sekta isiyo rasmi kupata huduma za...
WANAFUNZI 2,610 kati ya 8,038 waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka huu katika Halmashauri ya jiji la Dodoma, wameshindwa kujiunga kutokana na upungufu wa vyumba vya...
Hii ya kuwa bongo itakuwa kama ulaya ni kwa muda gani uliobaki? Tangu lini wakuu wa nchi wakarithishana hizi sera na mikakati? Tunaona kila akiingia rais anakuja na mipango yake. Leo ndege za rais...
Habari zenu wanajamvi?
Natumai my wazima wa afya na munaendelea na majukumu ya kila suku vizuri!
Twende moja kwa moja kwenye mada!
Jana wakati natoka sehemu moja inaitwa NDALA mji mdogo wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ubora na ubaya wa magari ya aina ya Spacio,na pia natakiwa kuzingatia vitu gani vya msingi?
Asanteni kwa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda umeenda namba moja now amefikisha miaka mine bado tu anaendeleza sako la panya na katika hili sako la panya kuna Hali,dhulma,chuki na visasi ambavyo vimepelekea kufanya baadhi ya kampuni...
Je?mwanachama wa ccm wa mtwara atakuanafuraha kwa ujio wa ndege?haliakua mpaka hii Leo hawajapata malipoyao ya korosho
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake jipya ni Hope au Matumaini. Akiwa na miaka 2 alidhaniwa na wazazi wake kuwa ni mchawi, Wakamtupa na kumtelekeza mitaani, akadhoofika vibaya kabla ya kuokotwa na mwanamama Anja Ringgren...
Leo Nikiwa katika mizunguko ya hapa na pale ; nikakutana na basi la kubeba wanafunzi la rangi ya njano.
Niliposoma ubavuni nikaona maandishi " Indian School Dar es Salaam".
Nilichokiona ndani ya...
Wakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asanteni Sana serikali ya awamu ya tano kudhibiti hili suala.miaka ya nyuma niliwahi kushuhudia kwa macho yangu mabaunsa wa ile club iliyokuwa maarufu Sana wakiwauzia vijana unga wengi wao wakiwa...
Nimefikiria jinsi wananchi wanaoishi vijijini wanavyoishi katika style ambayo bado maeneo Mengi kuna uamini mkubwa Wa Nguvu za giza na baadhi kuabudu mizimu
Je si ni wakati muafaka sasa mitume na...
Habari nahitaji kujua hivi malipo ya egovt pay yanafanyikaje katika bank maana fomu niliyopewa inakitu kinaitwa control number na sio ac namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Na jambo ambalo haliingii akilini eti kuanzia kilo 1500 hamlipi hadi ukaguzi wa mashamba,
Mie na kilo 1600, mbona sijawaona niwaonyeshe shamba. Ni kweli Waziri mkuu, wewe unatoka maeneo ya...
SERIKALI leo inasaini mikataba na wamiliki wa viwanda vya ubanguaji wa korosho waliojitokeza kwa ajili ya kubangua korosho msimu wa mwaka 2018/19 zilizonunuliwa kwa bei ya Sh 3,300 kwa kilo...
Wafanyakazi wengi nchi hii akili zao wanazijua wenyewe.
Kitendo cha yule mama kubaki pale ni kiashiria tosha kabisa kwamba mwenye nyumba alituchezea sinema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni amesema mfanyabiashara mwenye mauzo ghafi yasiyozidi sh 4 milioni hapaswi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mapato.
Meneja amesema alichofanya Rais...