Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni miongoni mwa misemo ya kiswahili ( Metheli) ya wahenga sina uhakika kama karne hii yupo alie kuwapo kabla ya ujio wa methali hii nimefundishwa darasani kwa levo zote za elimu yangu na pia...
0 Reactions
1 Replies
17K Views
Katika shindano hilo mtu yeyote atakayeshiriki hupewa dakika tano kueleza uongo wake mkubwa na utakaoaminika kwa kiasi kikubwa Lakini, Mwanasheria au Mwanasiasa kwa bahati mbaya hawawezi...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Nimejaribu kujiuliza Davos zote since JK tumenyai (tumezikimbia) Ila Kama tumeangalia kule kukiwa na Davos sisi huku tunajitengenezea katukio ketu kakutunga alimradi ombwe letu la kutokuwepo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
KATIKA ndoa za siku hizi, wakati mwanaume na mwanamke wakikutana na kukubaliana kuoana, utadhani hakuna jambo baya linaloweza kutokea kati yao miaka kadhaa baadaye, Uwazi lina kisa cha...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana JF: Nikiwa nipo darasa la 7 nilianza kujiwekea akiba hii njia niliipenda sana kwani imesaidia sana kujiweka huru ki-fedha Ndani ya mwaka 2015 nimefanikiwa kufungua Duka maeneo ya...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Ubaguzi ni kitu kibaya, ila hawa watu weupe (hasa waarabu, wazungu na kadhalika), kwao ubaguzi ni kama desturi. Watu weupe wao sijajua wanajionaje, na sisi weusi wanatuonaje pia! Ubaguzi A to...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Je huyu dereva wa lorry alikuwa ana haki ya kujaribu kumuua huyu mwendesha baiskeli kisa hasira?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaidizi wa Asikofu Malasusa: ameongea kitu cha mbolea sana katika watumishi wote walioalikwa na muheshimiwa Rais leo , Mvua nyingi sana zinazonyesha nchi hii tungeweka BWAWA KUBWA KILA WILAYA na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakazi wa maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam wanatakiwa kubomoa majengo yao waliyojenga kwenye hifadhi ya barabara kabla hawajaondolewa kwa nguvu. Miongoni mwa maeneo maarufu yatakayobomolewa...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Tanzania Tunafeli Wapi, Mbona tunakaa nyuma nyuma sana. Nipo Switzerland nimepeta Nafasi ya kuhudhuria World Economic Forum Annual Meeting Huu ni mkutano mkubwa Sana na nchi zote kubwa duniani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa...
2 Reactions
114 Replies
9K Views
Mzuqa Nilikuwa nashusha zangu mida ya jioni kurudi Geto baada ya kumsabahi rafiki yangu Chuwa alipata ajali ya bodaboda. Nilipofika njia panda ya kwa lemaaa na maprososo ghafla nikakutana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau wa jamii forums. Hongereni kwa majukumu mbalimbali kulingana na nafasi ya kila mmoja wetu humu jukwaani. Leo nawaletea huu uzi ukisemekana kwa jina la "a thread of fake...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
MAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha yake. Yapo mambo mengi ya kuwa nayo...
4 Reactions
12 Replies
13K Views
Umeme wa maji sio teknolojia mpya. Ilishafanyika siku nyingi tu hapa na mahali pengine duniani. Uchafuzi wa mazingira ni kitu kisichoepukika (kuna kipindi tuliambiwa bwawa la Mtera limejaa udongo...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,Judethadeus Mboya na aliyekuwa Mwanasheria wa Halmashauri hiyo,Andrew Gregory ,wamefikishwa mahakamani mjini Moshi...
1 Reactions
0 Replies
726 Views
PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa ila utachelewa kula, upo nyonyo? Shoga kichaa hajipeleki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza Mimi nimeajiriwa katika taasisi fulani ya kutoa elimu(Chuo) kama principal Sasa huyu mmiliki wa hii taasisi kampa secretary wetu binti flani majukumu yote ya kupokea...
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Miiko na Mila za mababu waliziweka baada ya uchunguzi Mkubwa! Miiko ya kimila imegeuka tiba kubwa kwaa watu ambao wanaiabudu hadi Leo! Katika ukuaji Wa mtoto; kuanzia umri wa miaka 4-5 Meno...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Tuliambiwa hizo ni nje ya mkataba, na zitakuwa zinatolewa kila mwezi kwa miaka mitano. Au hesabu zimegoma, siku ile walipiga hesabu za kichwa tukaambiwa bilioni mbili point mbili kwa chenji ya...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…