Yafuatayo ni miongoni mwa mambo ambayo watu wanayaelewa ndivyo sivyo kuhusu mtu kuwa na dini.
1. Sio mtu kuwa anaijua dini sana(yaani ameisoma) ndio ana dini. Huyo anakuwa msomi tu kama wasomi...
Kwa mfano unaenda hospital A unapima malaria unaambiwa huna,unaenda kucheki hospital B unaambiwa unayo.na sio malaria tu Bali magonjwa mengi hata UTI Unaweza kukutwa nayo halafu kesho uki test...
Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,
Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!
Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya...
Hili naona limekuwa tatizo kidogo. Vijana hasa wavulana wale mabishoo wanaopenda kuongea kwa kubana pua na kuonekana wa kisasa zaidi, na hasa watu wa media, wanakapenda sana haka kaneno "This time...
Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) imetangaza nafasi za kazi 10,000 kwa wananchi wote waliopo nchini kwenye mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutokea...
Ukitaka kujua watu wanapenda tu mafanikio ndio kipindi kama hiki, kila MTU anaulizia matokeo lakini kipindi cha ada hakuna aliye kuwa anauliza jamani tuwe wastarabu kama hujawahi kuulizia ada...
Habari wapendwa!
Nimekaa nikatafakari kwa kutumia akili ya kawaida tu ( common sense), nikafikiri ambavyo ingekuwa vyema kama tungeishi maisha halisi humu,
Tungekuwa na uwezo wa kusaidiana kwa...
Heri ya sikukuu ya PASAKA!
wakati hali ya sintofahamu ikiendelea juu ya nyaraka mbili zilizotolewa na viongozi wakuu Wa makanisa ya katoliki na KKKT kutofautiana na maoni ya askofu Pengo...
Huu mkoa unatakiwa ujitafakari kielimu
Ukilinganisha na Kilimanjaro, Dar kuna shule za Sekondari 306 na Kilimanjaro 316. Kwa idadi ya watu Dar ilitakiwa kuwa na shule zaidi ya mara mbili ya...
Niwasalimie wana JF wote.
Ninaelewa nssf huchukua michango yake kutoka gross salary. Paye inalipwa baada ya nssf. Napenda kujua kuhusu michango ya nhif wao wanasema inalipwa kutoka gross salary...
Niliishi na wazazi wangu katika nyakati mbalimbali, lakini nyakati nyingine, sikuishi nao kwa sababu za kikazi na wakati mwingine umbali.
Habari zenu nisalimie kwanza wakuu, habari za Januari...
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37
Baada ya kustaafu ilimchukua...
Wakuu salama?
leo nimeona kutoa dukuduku langu kuhusiana na dagaa hawa wa mwanza, rock city. ni dagaa wazuri kwa ladha lakini kero kubwa ni mchanga . imekuwa ni kero hasa ukikuta maandalizi ya...
'Understanding' is just a simple word in the whole wide world and Dictionaries,it refers to knowing the meaning/intention and what is real at the right time.
Every aspect of life requires...