Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,Judethadeus Mboya na aliyekuwa Mwanasheria wa Halmashauri hiyo,Andrew Gregory ,wamefikishwa mahakamani mjini Moshi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilimsikia kwa kumuona kwenye TV Mh Naibu Waziri ,Ofisi ya Rais Menejeiment ya Utumishi wa Umma, Mary Mwanjelwa akizungumzia kwamba sasa watumishi watapimwa kikamilifu utendaji wao kwa kupitia...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Wadau wa Moshi natarajia kuingia mjini hapo leo usiku naomba msaada sehemu safi ya kulaza ubavu. Gharama 15,000 hadi 20,000/- Naomba msaada please Katufu
0 Reactions
22 Replies
5K Views
FEBRUARI 6 mwaka huu, Hospitali ya Benjamin Mkapa itazindua na kuanza kutoa huduma ya tiba ya magonjwa ya moyo. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa hospital hiyo, Dk Alphonse Chandika...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Napata wakati mgumu sana kumlea mtoto wa kiafrika bila fimbo. Kuna mbinu yoyote unaweza Lea mtoto mpaka utu uzima bila kumchapa?. Watoto kuanzia 2-9years ni pasua kichwa utundu na tambia mbovu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA mara ya kwanza Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI) ambacho hakijawahi kufanyika katika hospitali za nchini. Kipimo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi huyu kamanda yupo wp, bado yupo upinzani au alishaunga mkono juhudi Za awamu ya 5? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Hodi Wadau humu ndani. Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Bila kupoteza muda,naelekea moja kwa moja kwenye mada tajwa. Kwa wale ambao tunapenda kuifuatilia dunia yetu,hasa kwa upande wa masuala ya anga,ni wakati muafak wa kupakua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Niko hapa Serena Hotel DSM kuwaletea uzinduzi wa ON Line Porta ya TFDA ambao utawezesha mambo yote ya TFDA kuendeshwa kidigitali!. Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania, (TFDA)...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka 2022 Mwanasayansi Elon Musk kupitia kampuni yake ya Space X, Watapeleka kundi la kwanza la Watu kwenda katika Sayari ya Mars kwa ajili ya utafiti na kutalii pia. Pia kumbuka umbali wa...
12 Reactions
128 Replies
14K Views
Nahisi kama speed ya matumizi ya umeme yameongezeka hivi, Je kuna wengine mmeona hii issue au ni issue za matumizi yanyumbani kwetu wapendwa? What i mean here, Consumption speed have increased...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mtu yeyote anayefuatilia maendeleo ya ukuaji wa Dar es Salaam, atagungua muda si mrefu Mbezi itakuwa ni kitovu kikubwa cha bishara na uchumi kutokana na kukua kwa haraka na pia kuimarishwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna sehemu maalumu ambazo kikundi cha maaskari wa usalama barabarani husimama kwa ajili ya ukaguzi wa magari mabalimbali kwa kuangalia kama sheria ya usalama barabarani inafuatwa dreva kufunga...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kabisa ndiye! Hii imekaaje Ndugu zangu?Kabisa alikuwa Padri na Paroko Mahali fulani na alirejea kwao Ajabu nimemuona kwa macho yangu akihudumu kama Mwanajeshi wa N,Seal huko kwingineko. Tena...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nitaeleza kwa kifupi sana ili kupisha mjadala! Zipo changamoto nyingi sana zinazotokea tuwapo barabarani iwe kwa vyombo vya moto, baisikeli ama kwa watembea kwa miguu. Kutokana na changamoto...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyie makampuni ya simu mnaotoa huduma za kifedha kwanjia ya (mtandao )anzisheni POS zenu ili kupunguza au hata kuzuia uwizi unaofanywa katika mitandao simu hasa kwa Mawakala wanaotoa huduma za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…