hili shirika mi silioni umuhimu wake zaidi ya kuona linanirudisha nyuma kimaendeleo.
Mwaka haujaisha tangu ninunue pasi aina ya philips ambayo sikujua kama ni kanyaboya pasi hiyo imeshaungua...
Leo nlikuwa nafanya booking online kwa ajili ya kununua ticket air Tanzania kwa safari ya Dar-Mwanza.
Nlifika hadi sehemu ya kupewa Reference number ya kulipia via mobile phone. Nlivyokuwa nalipia...
Kampuni ya Zaim Education Development Limited,ni kampuni iliyoanzishwa na Mwalimu Ally A. Ally--ambaye ndio Mkurugenzi wa Elimu Bakwata Makao Makuu na ndugu yake Mufti Abubakar Zuberi .Kampuni...
Ndugu zangu Wananchi,
Awali ya yote polen na pilika za maisha
HOJA:
Baada ya Rais Magufuli kuamuru Makao makuu ya Serikali yahamie Dodoma, watumishi wengi waliokuwa na makazi ya kudumu na...
Habarini
Tunaishi katika nyakati za maisha yanayohitaji uelewa, upeo mkubwa wa kufikiri na kujiongeza kwa kasi ya radi.
Naelekezea huu uzi kwa wazee, raia yoyote mwenye matatizo ya kiafya ama...
Mtaji mkuu wa kisiasa ni umasikini na usanii. Kwa maana ipi! Mtu maskini kumrubuni ni rahisi sana yaani kofia na kitenge atakupa kila kitu. Haya tumejionea wenyewe katika vipindi kadhaa vya...
Je....
1. Tuamini kuwa Tsh Trillion 1.5 hazijapotea kama tulivyoaminishwa na wasioipenda Serikali?
au
2. Tuamini kuwa Tsh Trillion 1.5 zimepotea kama ambavyo wanaoipenda Serikali...
#NipasheHabari MAHAKAMA ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imeamuru familia ya Ngiloi Ulomi kufanya mazishi ya mfanyabiashara maarufu wa madini wa Arusha, Jubilate Benjamin Ulomi, aliyekufa 15...
Jamani jamani sitokaa juani kumpigia mbunge kura , hawa jamaa Kwa hela wanazopewa ni kufuru ukilinganisha na kazi wanazofanya.
Rais tunaomba sisi watumishi wa umma upunguze idadi ya majimbo ili...
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema Tanzania inaweza kujiimarisha zaidi kiuchumi iwapo itachukua hatua za kuwaendeleza wasichana kielimu na kumaliza tatizo la ndoa za utotoni...
Yaani mpaka sasa hamna hata nguzo moja iliyosimama hapa Ubungo lakini mambo ni moto, mainjinia hawalali hapa.
Barabara za pembeni zinang'aa madaraja yanafumwa sio kitoto zege zinamwaga usiku na...
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu ...
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Dar Express limepata ajali ya kupinduka leo asubuhi maeneo ya Athi River Kitengela nchini Kenya.
Basi hilo lilikuwa ninatoka Nairobi nchini Kenya kuelekea jijini...
WITHHOLDING TAX ni nyongeza ya asilimia ya kodi mfanyabiashara anayomlipa mwenye nyumba inayotakiwa kulipwa na mwenyenyumba, lakini TRA hawana muda wa kumfuata mwenyenyumba hivyo wanamlipisha...
Jumapili ya Januari 06, 2019 ilikuwa siku ya furaha kwa Wakristu na Wananchi wa nchi ya Misri kwa ujumla baada ya Raisi wa nchi hiyo kushiriki katika ufunguzi wa Kanisa kubwa la madhehebu ya Copt...
Tabora. Esther Gway, askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ameuawa wakati akijinasua asibakwe na anayedaiwa kufanya kitendo hicho ni fundi ujenzi.
Fundi huyo inadaiwa alikuwa akijenga...
Mzee Jumanne Ngoma mvumbuzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1967 mwili wake unaagwa kesho dar.
Madini haya hayapo popote duniani ni Tanzania.
Nashauri ili kuenzi jina lake pamoja na kwamba mgodi uko...
Habari zenu wana jamvi.
Nimefanikiwa kuizunguka nchi yangu mama Tanzania na jambo hili limenishangaza sana. Ni dhahiri kwamba mtandao wa barabara ktk eneo kubwa la chi yetu umeongezeka kwa kiasi...