Basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali maeneo ya Athi River, Kenya

Basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali maeneo ya Athi River, Kenya

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,277
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Dar Express limepata ajali ya kupinduka leo asubuhi maeneo ya Athi River Kitengela nchini Kenya.

Basi hilo lilikuwa ninatoka Nairobi nchini Kenya kuelekea jijini Dar es salaam

Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mara moja na taarifa kuhusu madhara kwa abiria bado tunaendelea kufutilia kutoka kwa mamlaka husika, japo inaelezwa abiria kadhaa wamejeruhiwa.

IMG_20190126_092921_503.jpeg
IMG_20190126_092943_971.jpeg
IMG_20190126_092902_219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja anaendesha bwana mmoja anaitwa Kikoti yuko makini sana yule jamaa sijui ndio hii..all in all tunashukuru hakuna madhara makubwa.
 
yes ni kikoti mwenyewe ndo kapata ajali ila kuna wajinga walikuwa wanashangilia yeye kupata ajali kwa majungu tuu,,,"matunda mema hurushiwa mawe"
 
Kikoti ni wasiku nyingi sana ktk mabasi ndio maana ni kati ya madereva wastaarabu sana.


DE ndiyo kampuni pekee yenye madereva watulivu wenye usikivu na kuthamini abiria kwa route za Moshi Arusha na Nrb
 
Basi limelala….jambo la kushukuru hakuna madhara makubwa sana yaliyopelekea vifo.
Majeruhi na wahanga warejee kwenye hali zao upesi.
 
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Dar Express limepata ajali ya kupinduka leo asubuhi maeneo ya Athi River Kitengela nchini Kenya.

Basi hilo lilikuwa ninatoka Nairobi nchini Kenya kuelekea jijini Dar es salaam

Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mara moja na taarifa kuhusu madhara kwa abiria bado tunaendelea kufutilia kutoka kwa mamlaka husika, japo inaelezwa abiria kadhaa wamejeruhiwa.

View attachment 1005199View attachment 1005200View attachment 1005201

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kampuni imeshachoka kila siku matukio mara yaungue moto.
Usafiri wa Nairobi uhakika ni Tahmeed na Dar Lux tuu
 
Back
Top Bottom