ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,822
Mtaji mkuu wa kisiasa ni umasikini na usanii. Kwa maana ipi! Mtu maskini kumrubuni ni rahisi sana yaani kofia na kitenge atakupa kila kitu. Haya tumejionea wenyewe katika vipindi kadhaa vya uchaguzi vilivyopita. Masikini ni mtu ambaye anafikilia leo tu na anafikiri vile alivyondivyo inavotakiwa kuwa. Kwa maana rahisi ni kuwa hapa ndio mtaji wa kisiasa unakotakiwa kuwa kwa vyama vya siasa. Tunaelekea 2020 tutawaambia tena tutapeleka mil kadhaa kila kijiji hawata bisha tunajua hilo.
Shida yangu ni kuwa hawa wasanii watanzania wote wako chama kimoja sio. Wote wanakubaliana na sera za chama chetu sio. Mana 2020 inakaribia na tunahitaji kuwatumia kwa kampeni zetu. Ukienda kwa wenzetu msanii kama hakubaliani na sera zako hata umtumie mabomu hawezi jipendekeza. Hapa kwetu hilo halipo kabisa. Sasa nasema wale ambao hamkubaliani na sera mtapata wakati mgumu 2020.
Nawakumbusha wasanii wabongo kama hujajenga tafuta kiwanja mwakani uhakika wa kujenga mkubwa sana.
Au mazee mnaonaje hii. Nimekosea kuwakumbusha.