Je mpaka sasa Watanzania tumeshika lipi kati ya haya mambo mawili?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Je....

1. Tuamini kuwa Tsh Trillion 1.5 hazijapotea kama tulivyoaminishwa na wasioipenda Serikali?

au

2. Tuamini kuwa Tsh Trillion 1.5 zimepotea kama ambavyo wanaoipenda Serikali wanatuaminisha?

Karibuni.
 
Zilikuwepo...

Zikatolewa bila utaratibu na sasa hazipo tena... ila waliyozifuja wanajulikana... ila ndiyo wababe sana...


Cc: mahondaw
 
Kumbuka huko nyuma walisema wamezihamishia Zanzibar, baadaye wakakanusha wakasema zipo upande huu wa bara hazijavuka bahari.
Kwa kifupi zipo mahali zimehifadhiwa/kufichwa.
Nina hakika mbunge mwenye weledi, maono na mzalendo halisi Zitto Kabwe atakua anafuatilia kwa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom