idifu10
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 333
- 238
Mkuu acha wapumzike kwanza, watarudi hewani tu.....Jela si kuzuri nasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWapo mkuu karibu police officers mess osterbey kila jumamos aka usiku wa bakolo mbonda jamaa wanakuwa hapo sasa wewe upo tandahimba huko utawasikia vipi mkuu na jumapil hii watakuwa baa moja maarufu hapo njia panda ya mloganzila Hosp watakuwa wanaliamsha dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasomeka mkuu, umechanganya madawaWacha uwongo wewe, mbona kina Lissu, Biteko, Mbowe na Lema wankupenda?