Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja manispaa ya kigamboni huko pemba mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na black blaa kibao. Basi bwana nikaona kama fursa lakin...
Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana...
Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko)
Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza...
Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia.
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa...
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima...
Tetesi za kwamba Burundi na Rwanda zinataka kushambuliana zinazidi kutawala kwenye mitandao ya kijamii nchini Rwanda na Burundi
**Burundi inadai Rwanda inataka kuishambulia
Kwa kushirikiana na...
Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo.
Nikiwa hapo katika foleni ya...
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.
Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani...
Wakuu salamu
Moyo unaniuma na nimesikitika kwa kiwango kikubwa sana. Mimi ni mpenzi wa mboga za majani (hasa matembele) na mahindi, na nilikuwa na muuzaji wangu ninayemuamini kwa kuniletea mboga...
Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu
Ila kuna chinja chinja inakuja sasa...
Wakati wanawake wanazidi kuwa warembo na wanahitajika kushughulikiwa ipasavyo Kwa upande wa wanaume Hali inazidi kuwa mbaya kufuata wengi wao kukosa Nguvu za kiume na kupelekea matumizi makubwa ya...
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameamuru kurejeshwa mara moja kwa zaidi ya Sh500 milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
Siri kuu na ya kustaajabisha ya kuwepo kwa mwanadamu imefichwa katika mchanganyiko wa kipekee wa mavumbi ya ardhi na pumzi takatifu ya Uzima.
Kabla ya mwanadamu kuwa kiumbe hai kinachotembea na...
Juzijuzi hapa nilimtembelea rafiki yangu niliesoma nae secondary. Jamaa anaishi mitaa ya Masaki, maisha yake si haba. Huwezi kumfananisha na sisi wa Tabata Dampo.
Jamaa anaishi na mkewe, wana...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amelaani tukio la kuuawa kwa mfanyabiashara na mwekezaji raia wa China, lililoripotiwa...
Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona...