Habari,
Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.
Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata...
Imagine kijiko ulichotumia kula chakula watu wangapi wamekitumia kulia vilevile, alafu mama ntilie anavipitisha tu kwenye maji chapu kinarudi kazini tena, huu ni uchafu uliofumbiwa na jamii ndugu...
1. Mito ndiyo ilizaa ustaarabu wa kwanza duniani.
Kabla ya miji mikubwa, barabara na teknolojia, watu walijikusanya kandokando ya mito kwa sababu ya maji, kilimo na usafiri. Ustaarabu wa kale kama...
Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno.
1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana...
Ninaandika ujumbe huu kwa maumivu makubwa sana.
Inaonekana nitalazimika kukatisha masomo yangu kutokana na pesa za ada na matumizi kuishia kwenye mchezo wa AVIATOR.
Mwanzoni niliona kama ni...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza rasmi zoezi la kufunga Pampu 3 kati ya Pampu 7 zilizowasili mapema Mwezi Mei Mwaka huu zinazotarajia kuimarisha na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza...
Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuamika ndani ya Chadema, leo Jumatatu Asubuhi, Juni 01, 2026, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza atafika Makao Makuu ya Chadema (Edwin Mtei House)...
Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la...
Wakazi wa eneo la Msumi, Kata ya Mbezi wilayani Ubungo, wameanza kupata huduma ya majisafi kufuatia kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Msumi uliotekelezwa na DAWASA kwa gharama ya zaidi ya shilingi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya...
Habari wanajf,
kila siku huwa na sema hapa jf.
Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe".
Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za...
Studio za Mwanamuziki wa Kitanzania, Elias Barnabas Inyasi maarufu kama Barnaba Classic, zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Juni 1, 2026 maeneo ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam.
Kupitia...