Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Halafu lingine Wanaume tujitahidi sana Wanawake ambao tulianza nao Maisha tulipokuwa tukijitafuta na Kufanikiwa kamwe tusije kuwaacha tena kwa Dharau na Nyodo. Nimemaliza.
2 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa...
0 Reactions
3 Replies
151 Views
Mfumo wa elimu uliumbwa kutuzalisha kuwa wafanyakazi watiifu (good employees), siyo wamiliki wa rasilimali. Shuleni tulifundishwa jinsi ya kusoma kwa bidii ili tupate kazi nzuri, lakini...
4 Reactions
3 Replies
431 Views
Akizungumza mara baada ya kikao na uongozi wa CHADEMA katika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa...
1 Reactions
4 Replies
178 Views
Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao...
8 Reactions
24 Replies
393 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group anabainisha kuwa vyombo vya habari vya asili vinakabiliwa na hatari kubwa ya kufungwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia. Anaeleza kuwa mitandao ya...
15 Reactions
54 Replies
949 Views
  • Poll Poll
Madee amefanya ngoma ya 'DANGER' akiwashirikisha mastaa wakubwa kama Jay Moe, Mandojo & Domokaya, Soggy Doggy, G Nako, Dully Sykes, Inspector Haroun, Luteni Karama, Mwana FA, Sugu, Afande Sele...
0 Reactions
8 Replies
223 Views
Leo Juni 1, 2026, Taasisi ya Women in Leadership Forum (WLF) imetambulishwa rasmi Bungeni kama moja ya majukwaa ya kipekee, siyo tu nchini bali hata duniani, kutokana na msingi wake wa...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Tafadhali wafundisheni watoto wenu wa kiume kwamba kuwa mwanaume mwema haimaanishi kuwa mtu wa kuvumilia dharau, misukosuko ya kihisia, udanganyifu wa kisaikolojia, au machafuko ya mara kwa mara...
1 Reactions
2 Replies
113 Views
Ndugu wananchi na viongozi husika, Kwa sasa kumekuwa na changamoto kubwa ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari makubwa ndani na nje ya Dar es Salaam. Hali hii imeathiri shughuli nyingi za...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Kuna zoezi la ukamataji wa Pikipiki na Bajaj linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Tunapenda maendeleo na tunaipongeza Serikali kwa juhudi zake za kuboresha miundombinu kupitia ujenzi wa barabara za mitaa. Hata hivyo, si vyema mradi unaolenga kuwaletea wananchi maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake...
7 Reactions
201 Replies
3K Views
Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama...
18 Reactions
54 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu Waandishi wa Habari watakaoshiriki Tuzo za Uandishi wa Habari na Makala za Maendeleo (Samia Kalamu Awards - SKA) 2026 wamelazimika kukidhi sharti la kuwa na ithibati kutoka Bodi...
2 Reactions
2 Replies
103 Views
Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto...
3 Reactions
13 Replies
255 Views
Unajua kizazi cha leo kukuta dogo under 30 anamiliki kampuni au yuko financial freedom ni simple sana, wakati sisi millennia tulipata stable economy 40+ Millennia waliamini kusoma ni ufunguo wa...
12 Reactions
16 Replies
315 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…