Yaani vitambi ni kama wamechanjia..ukija barabarani wanavyoongoza magari huwez elewa ata hyo signal aliyoitoa amekuruhusu au amekusimamaisha wanaweza kukusababishia ajali.wengine wanaongoza magari...
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake wala umri wake amekutwa amekufa na mwili wake kuwekwa ndani ya kiroba na kutupwa katika mfereji eneo la kijitonyama jijini Dar es salaam hii leo.
Chanzo...
Wadau maeneo ya tarakea rombo limetokea tetemeko la ardhi mida hii
========
Tetemeko la ardhi lenye kiwango cha 4.8
Imeathiri nchi: Kenya na Tanzania
Kilomita 41 kutoka Wundanyi, Kenya · saa...
Kwa mambo yanayoendelea na ubinafsi wa serikali ya awamu ya tano itaipeleka nchi kwenye machafuko.
1. Wanamtumia msajiri wa vyama vya siasa il kufarakanisha jamii kwa hoja za kijinga sana.
Hili...
Wale waliosoma kwenye chuo hiki watamkumbuka Lecture wa Idara ya Mechanical Mwalimu Stanlaey Mwalembe hasa kwa uwezo wake wa kufundisha na hata uvumbuzi wa machine mbalimbli alikuwa ni tegemeo...
Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000...
Alizaliwa march 1989 akiwa njiti, wiki nne kabla ya mda sahihi wa kuzailiwa. Alizaliwa mwili wake ukiwa hauna uwezo wa kuzalisha mafuta (fat) hivyo kuwa na ngozi inayooneka kuzeeka. Alizaliwa...
1. Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake mfano unakuta MTU anasema Fulani ni bingwa wa kutibu UTI au PID hatukatai Dawa za asili...
Moshi :
WATUHUMIWA wanane kati ya 11 walioshikiliwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Scolastica iliyopo...
Watanzania wenzangu na raia wote waliopo humu, tuishauri serikali na sisi wenyewe kuchukua hatua za dhati na makusudi kukabiliana na hatari ya upungufu mkubwa zaidi wa chakula kuwahi kutokea kwa...
RC Paul Makonda napenda kukupa taarifa kuwa wizi Wa vifaa vya magari umeshamiri sana ndani ya mkoa huu.
Kunawakati uliweka mikakati ya kukamata wauzaji Wa vitu used vya magari hiyo ilipunguza...
Jeshi la polisi mkoani Kigoma limewaua watu watano wanaodaiwa kuwa ni majambazi huku wengine kadhaa wakitokomea kusikojulikana wakati wakijiandaa kutekeleza tukio La utekaji wa magari katika eneo...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu huku akitoa onyo kali kwa wanaojihusisha na...
Kama mnakumbukumbu niliwahi kuandika hapa hizi dhamana za kuwapa traffick kuandika faini wanavyotaka wengi wanazitumia vibaya sana
Ndugu trafiki Zuberi niliwahi mlalamikia hapa kwa Mambosasa...
Inawezekana kujenga nyumba hapa Tanzania bila ya kuweka Nondo madirishana na milangoni kuweka milango ya "Grill"?
Chanzo chake ni nini ambacho kinasababisha tuweke aina hiyo ya madirisha na...
*TAARIFA KWA UMMA*
*HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR*
*Machi 26, 2019*
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Dar es...
Dar es Salaam. Ofisi ya Makamu wa Rais imewaagiza watu wote wenye leseni za kukusanya taka hatarishi ikiwemo vyuma chakavu, betri zilizotumika na za kielektroniki kupeleka leseni zao halisi...
Mi ni mwana CCM ila kwa U-CCM wa propapaganda zisizo angalia nyakati zilizopo kwangu ni uzuzu na uzombi ...
Asilimia kadhaa ya watanzania wanatumia simu za android zinazowawezesha kuperuzi katika...
Wasalaam
Hoja yangu leo inajikita kwenye usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya mikoani
Wakati dunia inajitahidi kwa kuvumbua namna rahisi za kuendesha mambo na kutafsiri sheria ngumu ili...