Tanzania kwenye takwimu rasmi inapenda kujinasibu kuwa ni nchi yenye makabila takribani 120 na karibu yote yana lugha zake, na kuwa kiswahili ndio lugha ya taifa
hilo ni jambo zuri, kuwa tuna...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India zinatarajiwa kuendesha upimaji na kutoa bure zaidi ya miguu bandia 600 kwa watakaohitaji.
Watu wenye...
Serikali ya Tanzania imesema iwapo watakubaliana na taasisi mbalimbali wanazotarajia kukutana nazo wiki hii wanaweza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Julai mwaka huu.
Kauli...
Idadai ya akaunti ambazo mtumiaji wa wa Twitter anaweza kuzifuata kwa siku moja zimepunguzwa kutoka 1,000 hadi 400
Yaelezwa kuwa Twitter wamebaini kuna akaunti zinazoendeshwa na rotobi na...
Habari zenu JF family.
Nimegundua ktk tafiti zangu kuwa Watanzania watu wazima wamegushi tarehe zao za kuzaliwa wakiwepo watu maarufu kama wafanyabiashara na wanasiasa.
Sababu ya kughushi ni...
Sijabahatika kupita JKT Jambo linalonifanya niwe na uelewa mdogo wa mambo ya ulinzi na usalama, Ila kwa wale waliopitia JKT au walio na uzoefu na mafunzo ya ulinzi na usalama naombeni mnisaidie...
Walikuwa wanasubiria nyongeza ya mshahara, wamepigwa chenga kama chenga Mnangagwa aliyompiga comrade Mugabe.Nyongeza haitoshi hata kulipa balimi tano, au kilo Moja ya mdudu na ndizi Moja.Hiyo...
Wakuu habari zenu? Ipo hivi
Mimi ni baba nina mtoto mmoja 4year na mke mmoja, mm na mke wangu na mtoto wetu mzuri tunakaa pamoja tunamaisha ya mtanzania wa kawaida
Nilipomaliza tu chuo nilipata...
Habari wadau!
Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo...
1. American Airlines Flight 191
Ajali mbaya kabisa ya ndege katika historia ya Marekani iliyotokea Mei 25, 1979. Ndege iiliyokuwa ikifanya safari zake za kawaida DC-10 ilianguka dakika kadhaa...
Mara nyingi nikipanda Uber hapa town huwa napenda sana kupiga stori za hapa na pale na hawa drivers wa Uber.
Story moja ambayo huwa naipata zaidi ya mara moja ni kuhusu abiria wa kike kuwa sio...
Kenya airways inaonekana inakabiliwa na matatizo chungu nzima ya kiutendaji. Watu wanaosafri na Kenya Airways wanasema siku hizi safari ya Kenya Airways KQ kucheleweshwa kwa masaa mawili, matatu...
Wadau mm kwa takribani mwaka nimekuwa nikihangaika kufuata familia yangu kwa kuomba uhamisho.
Taratibu zote za maombi zimefanyika
Cha ajabu nimejibiwa majibu yasiyokuwa na huruma na kibinadamu...
Katika hali ya kushangaza Katibu Mkuu, Wizara Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano hataki kuwalipa wastaafu wa ATCL madai ya mafao yao PSSSF (PPF) hata baada ya Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ni bosi wake...
Ninaomba nafasi hii nitoe yanayonigusa rohoni Kwa Kweli. Ninavyoona Mimì uandishi wa habari ni mwanga, ni kioo, ni jicho, ni taaluma ambayo ina uwanja mpana uliozunguka maisha ya binadamu katika...
Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara.
Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla...
MOROGORO:
Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa pikipiki za matairi matatu almaarufu Bajaj.
Kumekuwa na matukio...
GEITA JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia mkazi wa Kata ya Nyankumbu, Selemani Mathis (35), kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa miaka minne.
Akizungumza...
UJUMBE WA KWARESMA 2019 ULIOTOLEWA NA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA TEC
FAMILIA KANISA LA NYUMBANI NA NI SHULE YA IMANI NA MAADILI
Wapendwa Waumini,
Kaka na Dada katika Familia ya Mungu,
Na Watu...