Nimejaribu kumwaga kwenye shimo dawa za madukani zinazouzwa kwenye madumu ya lita tano lakini naona harufu haipungui wala haishi.
Hii ni wiki ya tatu tangu Shimo hilo limeanza kutumika, lakini...
Kwa uzee alionao huyu mtu hata kama ana noti bora kwanza atumie mwenyewe. Maana mtoto anayemtaka anaweza kula noti zake bureeee halafu akaishia kushika na mkono basi. Kweli hela ya korosho noma...
Hawa watu wanamambo ya ajabu sana
Kama ni mvua hakuna DSM umeme unaenda wapi.
Umeme ni nishati muhimu isiyopaswa kuzima 24/7 ukikatwakatwa kuna adha za hatari sana
Ndugu Mwana JamiiForums kiasi nimeumiza kichwa kufikiri kwa sababu wanataka tusajili lain upya na ukitazama 80%ya watanzania hawapata kitambulisho cha NIDA
Pili Kuna huduma hutolewa na kampuni ya...
Hiki kitu kinakera kdg. Utakuta mtu anakupigia Simu anaanza kukulaumu "mbona siku hizi hunipigii Simu yaani unakaa mwezi mzima hata simu hupigi" muda huo hata Yeye hajapiga huo mwezi mzima pia...
Mzuqa!
Hawa wenzetu wanajinasibu sana wanaupeo mpana wa kufikiri.
Sasa hivi uingereza kuna wimbi kubwa sana la uhalifu hasa jiji la London. Vibaka wanaiba mchana kweupe kwa kutumia bodaboda...
Kupitia Kwa msemaji wa serikali, mwanzo wa mwaka 2019 alitoa taarifa inayoonesha watu waliopata kazi serikalin. Takwim zikiwa ni watu 24000 ndio walipata ajira kweny kada ya afya, Na 40000 kweny...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) amekabidhi matrekta 14 kwa vyama vya ushirika vya mkoa huo (Igembesabo) katika hafla iliyofanyika...
Mzuqa WanaJf
Sijawahi kabisa kukaa nakutazama kwenye TV mchezo wa Basketball NBA mwanzo mwisho.
Ila jumapili iliyopita nilijikuta nikivutiwa. Nilikuwa nimetulia ghetto. Mechi ilikuwa lakers na...
Ofisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Hamis Lissu amewataka walimu wakuu na wakuu wa vyuo kuhakikisha wanafuata miongozo ya elimu, ikiwemo ya kutowafukuza shule wanafunzi bila bodi kukaa na...
HUMMING BIRD (ndege mdogo zaidi)
Anaitwa HUMMING BIRD huyu ni ndege anaepatikana katika mabara tofauti kama vile Amerca na Africa
Kwa Amerca ndio anapatikana kwa jina la humming bird na kwa...
Halmashauri nyengine Nchini zimeombwa kujifunza namna ujenzi wa mradi wa soko kuu la Njombe unavyojengwa ili kuendana na ujenzi wa majengo yenye viwango.
Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa...
Raia hao wapatao 541 wamekwama nchini baada ya kukamatwa kwa makosa ya uhamiaji haramu
Serikali ya nchi hiyo imepanga kuwasaidia kupata nyaraka za kusafiria ili warejee nchini kwao
Wiki...
Wakuu Habari za mda huu poleni na hongereni na majukumu ya kulijenga taifa na family kwa ujmla.
Kiukweli na uhalisia,
Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line...
Wakuu kabla sijawachosha kuna demu leo nlimsikia akisifia wanaume waliotahiriwa na sime kuwa wanapiga show za kibabe kuliko wale waliopigwa nusu kaputi na wakatahiriwa na topazi inasemekana kuna...
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote nchini (UCSAF) inatarajia kutumia takribani Sh bilioni 26.5 kwa ajili ya kufi kisha huduma za mawasiliano katika kata 214 zenye vijiji 521.
Aidha, Waziri Mkuu...
Una kuta una mzazi kabila lake ni mkurya, mtoto wake anampa/ mbatiza jina la kizungu .
Je kwa kufanya hivyo hamuoni mnaipa changamoto mizimu kutenda kazi ipasavyo ?.
Kwa kuwa itafikia point...