kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
mara nyingi huwa wale wale WATOA MAJINA!Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
Aliekigundua na kukitabiri ndiye hukipa jina kimbunga.Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
Kanywe supu utoe lokimara nyingi huwa wale wale WATOA MAJINA!
Imagine mtu anagundua kimbunga[emoji16][emoji16][emoji16], hivi wazungu wanakuwaga sawa kweli wakati mwingine!!!!!Aliekigundua na kukitabiri ndiye hukipa jina kimbunga.
😂😂😂😂😂😂vingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk
Kuna kundi la wataalamu liitwalo kamati ya vimbunga ndo hutoa majina yakeHabari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umetisha kakavingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk
We ndio umemaliza kila kituvingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk