Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna uzi umeshika hatamu humu toka juzi, jamaa mmoja aise JAPO NAJUA ANAIGIZA ila anawakilisha Wanaume wa mikoani jinsi wanavyopambana kutafuta fursa Dar. Nilichojiridhisha ni: 1. Wanaume wa...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Tuna Sheha kwa upande wa Bara mnamwita Mwenyekiti anatuuzi sana wananchi kwa kulazimisha michango ambayo haistahili kwakweli. Zanzibar tuna masheha wengi lakini sijawahi kuona vituko anavovinya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Huu wimbo mliopiga leo asubuhi umenifanya nitafakari sana. Salari oh, salari oh oh oh Ninatafuta salari oh, salari oh oh oh Salari oh, salari oh oh oh Si tutafute salari oh, salari oh oh oh When...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita mahali tofauti tofauti na kukutana na malalamiko ya abiria wa shirika letu pendwa kwamba hamkurusha ndege kwenda destination mliyozindua juzi tena bila maelezo yoyote.Nachelea kutoa...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Aisee leo 1/5/2019 baada tu ya hotuba ya Mh. Rais , kila ninayechart anasema yupo mahali anapiga moja mbili tatu . Mm mwenyewe nakula K vant yangu hapa nikalale tu. Ikumbukwe kesho ni kazini.
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza niseme kwamba pamoja na uamuzi wa UBT kuhamishiwa Mbezi umeshafanyika kinyume na maoni yangu hapa na ya wengine huko nyuma; ningependa jambo hili lijadiliwe kama sehemu ya dira ya sera ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kheri na poleni kwa mihangaiko ya maisha kuhakikisha mkate unapatikana ndani ya familia. Niende kwenye maada husika . Ni kwamba kuna ndugu yangu ambaye kamaliza chuo level ya Diploma sasa leo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa serikali Tanzania ni mikubwa sana kulingana na kazi wanazofanya. Yaani serikali inalipa watu 100 kwa kazi ya watu ishirini tu. Tukifanya individual output...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Wakuu naombeni mnieleweshe, je ni sahihi kufanya sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtu ambaye tayari ni marehemu? Kidini na kijamii liko sahihi? Kama ni sahihi faida yake ni nini hasa! All...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
POLISI Kanda ya Dar es Salaam linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kuharibu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuiba mafuta kwenye transfoma na kuyauza. Akizungumza na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Ahmed Rajab RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi. Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili...
2 Reactions
1 Replies
635 Views
Kaya 56 zilizoko eneo la Fumagila kata ya kishili wilayani Nyamagana mkoani Mwanza hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba 59 kuanguka kutokana na mapaa yake kuezuliwa na mvua kubwa iliyonyesha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I attended a seminar about retirement: The place was at blue post Hotel....thika. Basically the message was: 1. As you always go to work....remember one day you will retire. You won't be going...
20 Reactions
32 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza...kwakweli kuna tabia za vinyozi hua zina kera sana unapokua umeenda kupunguza nywele... 1; Unakuta kinyozi .anapokea simu anaanza kuongea huku anaendelea na...
18 Reactions
115 Replies
18K Views
This is a bitter truth ! I call it a serious fact! Mfano, kama take home mtumishi unapata 800,000 kwa mwezi that makes 9.6millions per year , if take home is 1 million = 12millions per year. Toa...
21 Reactions
57 Replies
5K Views
Heri ya Mei Mosi Watanzania wenzangu. Bilashaka tumesherehekea vema siku hii muhimu ya wafanyakazi duniani. Binasfi nimeona nichangie maoni yangu kwa siku hii kuwa ni HERI TUJENGE MIUNDOMBINU...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
yeyote anayefahamu vigezo vyao vikuu kabisa ili uweze kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ, napenda sana hii kazi ASANTN
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Leo Mh.Rais Magufuli amewajibu TUCTA kuwa muda wake wa kuondoka madarakani bado.Nadhani aliwashangaa kumkumbusha mapema sana ahadi yake ya kupandisha /nyongeza ya mishahara kabla ya muda wake wa...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…