Ukosefu wa ajira ni changamoto ya dunia nzima.Kinachotofautisha kati ya nchi moja hadi nyingine ni ukubwa wa tatizo.Kila binadamu hubanwa na mahitaji ambayo kuyatimiza bila pesa...
Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato.
Nataka nikaishi tu bila...
Jumla ya watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali waliokuwa wamehifadhiwa kwenye ukumbi wa jengo jipya la Mahakama ya Mkoa wa Geita kusubiri mashauri yao kutajwa mahakamani, wametoroka katika mazingira...
Dunia hulizunguka Jua, kadhalika uliposimama leo kama ni kivulini kesho patakua juani na kama ni juani kesho patakuwa kivulini. Wewe uliye kiongozi usimdharau asiye kiongozi, na wewe uliye na kazi...
Heshima Mbele wadau,
Ningependa kupata real experience kwa wale ambao wamewahi kuezeka kwa mabati ya geji 30 tofauti ya ya geji 28.
Mimi nipo Dodoma, kuna kajumba kangu kamefikia hatua ya...
Heshima kwa kila mdau.Humu ndo sijawai kukosa jibu. Niliagza mzigo ali express. Nimeambatanisha screenshot ya status. Sikuelewa mzgo umeshikiliwa au la.
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fabian Daqaro amewakaribisha wawekezaji katika sekta ya burudani ili kukuza sekta ya Utalii na kusaidia viwanda vya ndani vinavyozalisha vinywaji vikali na vilaini kuweza...
Baada ya kufungia mifuko ya plastiki mifuko ya ilotengenezwa kwa karatasi na nguo imeanza kuchukua nafasi huku wajasi wakiikimbilia fursa ili kuongeza kipato chao . Lakini katika nchi za wenzetu...
Hivi ni kwanini tunasema taifa la Israel kuwa ni taifa teule na kukubari hata mabaya inayofanya dhidi ya jamii nyingine kuwa ni sawa.
Mbona hatujafuata dini ya Wayahudi kama kweli ni taifa teule...
Tukio la juzi la kuteketea kwa moto bweni la wasichana katika shule ya sekondari mkoani Kilimanjaro sio la kwanza mkoani Kilimanjaro au shule nyingine hapa nchini.
Nakumbuka tangu Moto wa shule...
1. Utaelewa kweli hizi tu kama utahaliwa kutafakari kwa kina ukiwa na mtuzamo neutral ktk kutafakari.
2. Ukiujua ukweli utakuwa huru
3. Ukweli pekee haumuweki huru mtu isipokuwa ule tu alioujua
4...
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.
Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu...
Kama wewe sio mtumishi wa umma Fanya kosa uone moto,vyombo vya dola vinaweza kukushughulikia vibaya mno
Lakini kwa watumishi wa umma ni tofauti kama anatuhumiwa na makosa kadha wa kadha...
Baada ya kusuasua kwa muda mrefu, ghafla Serikali imetunga sheria kali kama vile wananchi ndio walikuwa wanaizuia kulinda mazingira!
Ukweli ni kwamba kuna sababu mbali na wananchi wa kawaida...
Lipo tatizo kubwa la ajira na ukiangalia idadi ya waku kwa kilomita ya mraba ni ndogo. Wakulima wanazidi kupungua na biashara za kubangaiza zikishamiri,
watu wanahitimu wanafanyakazi ambazo...
Leo asubuh I nimepata ujumbe unaopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic kuanzia June 1 na unasomeka hivi...
"Serikali imekataza mifuko ya plastiki kuanzia tarehe 1 JUNI 2019. Faini au...
Waungwana nani nani amesikia nilicho sikia??
Kwa mara ya kwanza nilifikiri natoka ndotoni, ila baada ya kuendelea kusikiliza ..... nikajua sioti......
Kuna mtu mwingine amesikia ??? Au bado naota??