Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini...
Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Isimani-Iringa
🗓️Juni 5, 2026...
Alvin and The Chimpanzee Monkey ni katuni fulani ya watoto inayofurahisha sana watoto.
Sasa hivi kila nyumba ninayokatisha imejaa Alvin and the Chimpanzee Monkey.
I am Outside.
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu...
Likizo si muda wa kupumzika tu mbele ya TV au kutumia simu na gadgets nyingine muda wote. Ni nafasi muhimu kwa mtoto kujifunza vitu vipya tofauti na anavyojifunza darasani, kama vile ujuzi wa...
Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani.
Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa...
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena
Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.
Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe...
Unapomwona Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akivishwa joho la heshima ya juu kabisa ya kitaaluma nchini Urusi fahamu kuwa ameingia kwenye kitabu kimoja na viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi...
📍JAMBO NI LEO
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
MGENI RASMI: BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI - Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania.
KAULI MBIU: Dira 2050: TUWAJIBIKE KUKIJANISHA TANZANIA.
Mwanamke Muislamu, kwa mtazamo wa wanazuoni wengi wa Kiislamu na madhehebu makuu, haruhusiwi kuolewa na mwanamume asiye Muislamu, awe Mkristo, Myahudi.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imekuwa kivutio cha uwekezaji kinachokua kwa kasi zaidi barani Afrika, kwa mwaka 2025 ambapo Hatua madhubuti zimechukuliwa kupitia upya sheria na kanuni...
Katika sintofahamu wanafunzi wa mwaka wa nne wa udaktari KCMC ambao bado wako semester 1 mpaka tarehe 12/06/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya chuo,wametakiwa kulipia ada yote ya semester 2 ndipo...
Jeshi la Polisi pamoja na mamlaka nyingine zinazohusika na usalama barabarani zinapaswa kuongeza usimamizi na ukaguzi hasa nyakati za usiku. Kumekuwa na baadhi ya madereva wa daladala wanaotumia...
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA URUSI, JIJINI PETERSBURG -URUSI, LEO JUNI 05, 2026.
1. Julius Nyerere
Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada...
Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
HISTORIA INAANDIKWA!
Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner.
Tanzania imefungua njia mpya...
Sio kwamba najichukia binafsi ila naichukia hii jamii ya kuitwa afrikana.
Ni ngumu kukaa katika jamii ambayo utimamu ni adui, utimamu ni kihere here.
Afrika aliesoma zaidi yako ni amesoma ili...