Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge ashauri Chama cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia, raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa uraisi 2030 https://www.facebook.com/share/v/1Bo5jn5G75/
1 Reactions
29 Replies
486 Views
KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya...
1 Reactions
64 Replies
3K Views
Mwarabu angetangulia kufika pale Moshi kilimanjaro,Mwanza,Iringa,Mbeya mapema sana ungekuta wachaga wote,wanyakyusa,hadi wasukuma ni waislam wanaosali swala 5 nao wangekuwa wanajisifu kuwa kwenye...
7 Reactions
10 Replies
535 Views
Maandalizi kuelekea hafla ya kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambapo walianza mafunzo hayo ya kijeshi tarehe 22 februari 2026...
0 Reactions
4 Replies
67 Views
🏪 BIASHARA YA STATIONERY 1. 📚 Nini maana ya biashara ya stationery? Biashara ya stationery ni biashara inayohusika na uuzaji wa vifaa vya shule, ofisi na uchapishaji, pamoja na kutoa huduma...
2 Reactions
15 Replies
168 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Programu za Afrika wa Bridge for Billions, Liliosa Mbirimi (kulia), muda mfupi baada ya kutangazwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Benki ya Exim Tanzania imehitimisha mafunzo kwa wanawake wajasiriamali 50 waliofanikiwa kukamilisha programu ya wiki sita ya Women Empowerment Programme (WEP) 2026 jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
30 Views
Mambo Vipi Ndugu zanguni Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali kwa Ngazi ya Diploma au Bachelor Degree n.k je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango ya mahafali na Kuwaambia...
3 Reactions
8 Replies
71 Views
Familia ya Aga Khan ikiwa katika picha ya pamoja. Aliyeketi ndiye kiongozi wa sasa Na Simon Mkina Nyaraka za akaunti zilizoko Benki ya Barclays zinazoonyesha mmiliki wake ni Mtanzania – kwa...
31 Reactions
116 Replies
18K Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam-Tanzania, Septemba 3, 2026: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeshinda Tuzo ya Rais ya Wazalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), katika kundi la wazalishaji wakubwa wa...
0 Reactions
2 Replies
35 Views
Uko ugaibuni bank hazipokei pesa tu hata vito vya thamani hupokelewa na hutumika kama kama poni mtu akitaka mkopo je vipi apa bongo mtu unaweza peleka dhahabu, almasi, fedha?
0 Reactions
2 Replies
76 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Usimdhihaki, Usimchukie wala kumdhuru Mtumishi wa chombo chochote cha Usalama (Police, Military) kama hajawahi kukutendea ubaya au kukuonea. Poleni sana askari Polisi...
4 Reactions
58 Replies
772 Views
Fursa ya wastaafu wenye mafao wasiojua la kufanya kufungua maduka ya kuuza dawa ya kuacha pombe pembezoni mwa Baa kubwa. Pia kwenye vituo vya daladala kama Bifara ambapo wanauza pombe zote na...
4 Reactions
45 Replies
289 Views
  • Featured
Mfanyabiashara wa China, Zheng Xiangming, ametunukiwa cheo cha Chifu wa jadi nchini Ghana na kupewa jina la Hiowe Golaka Noryam Matse Nene Asumahtsu I, katika hafla iliyofanyika Agosti 29, 2026...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Anonymous
Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho. Kwa mfano, jana...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Wafanyakazi wa Puma Energy Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja huku wakipeperusha bendera, ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ziara ya PumaGas katika mikoa mitano nchini. Ziara hiyo imezinduliwa...
0 Reactions
9 Replies
95 Views
Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno. Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa...
6 Reactions
24 Replies
178 Views
Awali ya yote siitambui serikali iliyopo madarakani kwani HAKUKUWA na uchaguzi. Baada ya October, aina ya kinachoitwa mawaziri wa wizara mbalimbali wamegeuka kituko sijui kama ni planned au ni IQ...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Hivi barabara ya mkoa gani nauliza? Hii barabara ni mbovu inamshimo balaa. Serikali ya Samia hioni hii hali maana hapa ajali ni lazima kwa ubovu huu
2 Reactions
6 Replies
135 Views
Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
1 Reactions
1 Replies
30 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…