Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za...
Nimeona Uzi wa jamaa humu, kaenda kukopa b 3 ilihali yeye ni mlala hoi tu.
Sio kesi ila, nimeshangaa watu kumpuzia na kumdharau, sio sawa, mtoto wa mjini kukopa pesa huitaji kiwanja wala mali...
Ebu tuambie:
Ni machine gani au kifaa kilichokuwa kikikuingizia kipato, lakini sasa kimekumbwa na changamoto yoyote (mfano: short, power surge, motor imekufa, parts zimechoka, au matatizo...
Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa.
Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba...
Posho ya madaraka kwa waganga wafawidhi.
Kwa muda mrefu sasa, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya nchini wamekuwa wakitekeleza majukumu mengi mazito ya kiuongozi bila kutambuliwa...
Hii ni kumbukizi ambayo natamani kusherehekea nanyi wana JF. Hili ni tukio binafsi lililonikuta miaka 15 iliyopita. Nitasimulia kwa ufupi nanyi mjifunze kitu, pia hata kama utakuwa unanifahanu au...
Wakuu, mimi ni mlokole, nimebatizwa ubatizo wa maji mengi, lakini licha ya kuwa mlokole na ubatizo wa maji meji hainizuii mimi kuhoji na kuwa na mtazamo tofauti na dini yangu.
Iko hivi...
Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?
Mfano Ghana imepitisha Sheria kali...
Moja ya makosa makubwa ambayo wanaume hasa wakiafrika tuna fanya ni kulazimishwa kupendwa ,
Unamtongoza mwanamke Kwa ahadi au kutoa Pesa na mali ili akukubalie ombi lako. etii uta mnunulia Nguo...
Vyoo vingi vya umma kama kwenye ma bar, vyoo vya stend kubwa, sehemu za starehe na hata kwenye vyoo vya ofisi nyingi zenye mkusanyiknwa watu wengi je ipi sababu?
Huu nao ni mjadala ambao unachukua nafasi kubwa sana miongoni mwa " Thinkers" Kama inavyo jidhihirisha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii duniani. Mjadala huu unaenda kwa title ya " Human...
Zaidi ya wadau 50 kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na Kenya wamekutana wilayani Tarime, mkoani Mara, kushiriki Mkutano wa Tano wa Tanzania School of Community Networks (TSCN 2026) uliolenga...
Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob...
Siku mojamoja jitahidi uwe unaenda kula kwa hawa akina mama wanaobangaiza,utabarikiwa zaidi na zaidi, unakuta mama wa watu anaamka saa 11alfajili,anaanza kuchemsha chai,huku anachoma vitumbua na...
Wana Jukwaa Habari!
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa...
Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa...
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale...