Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Kuna msemo unasema kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa hali ya barabara ya Arusha–Simanjiro–Kiteto kupitia Oljoro No. 5, Komolo, Terrat na maeneo mengine, wakati mwingine mtu anabaki...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Leo ndio ile siku! Kipenga cha ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kinapulizwa, lakini huku mitandaoni mambo yamegeuka. Badala ya bara la Afrika kusimama nyuma ya Afrika Kusini (Bafana Bafana)...
6 Reactions
14 Replies
289 Views
Jana nimesafiri na SGR ya kutoka Dar kuja Dodoma, tukagawiwa korosho kwenye behewa, baada ya kula punje kadhaa nikapata ladha ya ukakasi mwingi sana, nikamwambia jirani yangu mbona hizi korosho ni...
10 Reactions
18 Replies
349 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu...
1 Reactions
6 Replies
103 Views
Kila anapokufa mtu yeyote ndipo sifa zake uanza kuenea kwamba amefanya haya na yale, mara huyu mtu amekuwa nguzo katika suala fulani au amewezesha kitu fulani, Hii ni tabia ya unafiki iliyojaa...
19 Reactions
49 Replies
4K Views
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF. Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote...
2 Reactions
7 Replies
361 Views
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
  • Redirect
Vijana waliobahatika kupata kazi miaka 5 ya hivi karibuni. Wamekuwa na udhaifu mmoja naona hauongelewi ila wakiendelea hivi kutakuwa na shida mahali. Kwanza wamekuwa wakipenda kujipost...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni...
8 Reactions
23 Replies
358 Views
Mchuzi wa mbwa kunywa wa moto. Leo tumeona Congo suala Patrice Lumumba na wahusika wake wa mwisho kafa mzee kabisa. Tuje upande wa Rwanda napo ni vile vile. Wakubwa wa hayo matukio wanapatikana...
3 Reactions
4 Replies
129 Views
https://www.youtube.com/live/YM6E5-HS0cg?si=21CIYEQBhoNnR8Qj UDOM PUBLIC LECTURE: DAVID KAFULILA YUKO LIVE Katika mhadhara wa umma ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), College of...
1 Reactions
16 Replies
229 Views
I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda, Uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya...
7 Reactions
14 Replies
308 Views
Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana...
20 Reactions
181 Replies
2K Views
Moderator naomba msiunganishe Uzi na nyuzi nyingine. Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana Uzi wa mkuu LIKUD kuhusu jinsi alivyo pokea taarifa za uwepo wa dada yake kwenye ajali ya MV Bukoba...
13 Reactions
82 Replies
2K Views
KIBAHA, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi milioni 991.5 kwa vikundi 51 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
Inasikitisha, kile tunachofahamikia zaidi huko mitandaoni uwezo wa wadada zetu kukata viuno katika ngoma za asili "traditional twerk" lakini pia ni chudai za kuchimbuana mitalo bongo ndio...
14 Reactions
7 Replies
478 Views
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua...
37 Reactions
783 Replies
155K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…