Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema...
Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve.
MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma...
karibu kila mtu unaekutana naye hapa jamiiforum, kazini au mtaani kila mmoja ana vita yake ya afya au akili anayoipigana kimya kimya. Wengine utaona wako sawa wanacheka, wanapiga stori, lakini...
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Kwa muktadha wa post hii wahusika ni Watanzania wa asili pekee, bila kuhusisha Watanzania wenye asili ya kuhamia kutoka nchi nyingine (waarabu, wahindi, wachina, wasomali, n.k)
Unapo observe...
Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu...
Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa...
Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe.
Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima...
Mwandambo tokea kuzibitiwa kaanza kuwa chizi wa kusifia CCM.
Kwa kile kilichomo kwa RC wa Tabora ni kama tuseme anataka kutengeneza kumuiga aliyetoka na kuonesha Tabora kama nini.
Maana kuita...
Nil nyakati za kumkumbuka Hayati Magufuli kwani ndiye aliyeletwa na Mungu kulikomboa Taifa la Tanzania, ni wakati pia wa kumkumbuka Sheikh Yahaya aliyesema anaona mwanamke akitawala na baada ya...
Habari kuna kanisa lipo kigamboni darajani mtaa wa nyerere karibu na daraja la Nyerere, kanisa hilo limekua kero sana kwa sisi wakazi wa eneo hili. Wamekua wakifanya mazoezi ya kwaya hadi usiku wa...
Yalikuwa Maombi ya nguvu kutoka kwa Mchungaji mmoja wa Huduma ya Mwalimu Mwakasege aliyelia machozi na Waumini Wote ili Mungu wa mbinguni ayalinde Malango ya Nchi yetu
Mkutano wa Injili wa...
Ipo hivi mm ni fundi electronics Kuna wakati naangalia mfano fundi wa Kenya akiunda amplifier anauza Kwa ksh3,500 Hadi 4,000
Lakini Mimi nikisema niunde amplifaya kama hiyo hiyo najikuta namtumia...
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za...
Mradi wa Kisima Cha Maji wenye thamani ya zaidi ya Milioni 585 Kirua Vunjo kusini Wilayani Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro.
===
Wananchi wa Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani...
Hiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki?
Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa...
Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda...