Mchungaji kwa Mwakasege: Tuliombee Taifa Malangoni mwa Nchi kuna Wageni!

Jana kulikuwa na maombi moto
Prayer points zilizokuwepo zinaashiria kitu, something Is wrong with our Country.

Hakika taifa halitapona na nchi nayo haitapona kamwe ikiwa Kanisa halitasimama katika zamu yake sawasawa.


Kuna watu wanasema mambo ya Bandari hayawahusu,,,
Machafuko yakitokea hakuna atakayesalimika..
Jukumu la kuliombea taifa ni letu Kanisa.


Kanisa tuendelee kuomba,
Shalom Tanzania
 
Hapo Mwakasege kashasoma upepo unavyovuma kifuatacho ni kuwapiga wajingawajinga kupitia hiyo ishu ya DP World. Mataahira wengi watajazana kwa Mwakasege. Nampongeza Mwakasege kwa kutumia vizuri fursa ya kujipigia hela za wapuuzi kupitia sadaka.
 
Huyu mtumishi huwa namwelewa sana na kuna vitu vingi huwa anaona mbele..USALAMA WA NCHI KWISHA akiingia DP ..nawaambia hata jeshi halitaingilia shughuli zake...Pwani yote itamilikiwa na wageni kwa kigezo cha bandari..watapitisha na kuingiza chochote watakacho na kitapelekwa popote..ikumbukwe moja ya masharti ni kutoingiliwa kwenye shughuli zao zozote. Waasisi wa Taifa kusema bandari isibinafsishwe si wanjinga. Taifa hili kweli kwa miaka 60 limeshindwa kununua teknolojia ya kutoa makontena?
 
Kuna shida mahala fulani, viburi, majivuno, kutokusikia kilio cha watawaliwa na watawala kuto kukubali kuhojiwa wao wakiwa kama malaika watakatifu hili ni tatizo kubwa sana ktk ustawi wa Nchi na Jamii inayotawaliwa. Kama ni kweli kisemwacho kipo na kama nikweli wamesaini kutoa kipande cha nchi na kisicho na manufaa kwqa wananchi basi ni janga kubwa sana kwa Taifa hili. Tumwombe sana Mungu kila mmoja kwa imani yake ili tuendelee kubakia salama.
 
Back
Top Bottom