Wananchi wa Missenyi, Bunazi Mkoani Kagera tuna vibaka wanavunja na kuiba majumbani muda tukiwa makazini, hasa sisi Ajira Mpya. Hata kama upo kazini mchana, wanaenda kuvunja na kuiba.
Bunazi ipo...
Kuna mambo ukitazama kiumbari kama sinema zetu.
Ukifatilia mkuu wa mkoa watabora na matukio ya Tabora ambayo anawaita wanahabari na matukio yaliyopo kwake.
Unaweza kusema Tabora ndio sehemu ya...
Watumishi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Rungwe Mkoani Mbeya wana Huduma Mbovu, wamekuwa na kauli mbaya dhidi ya wateja na pia hawatatui kikamilifu changamoto za kimfumo za...
Mimi ni dereva wa lori, Mtanzania, ninayeingia na kutoka nchini kupitia Mpaka wa Tunduma Border. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Maafisa...
Barabara hii ni mpya na ilikamilika kujengwa mwaka 2023 chini ya usimamizi wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma. Hata hivyo, tangu kukamilika kwake imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Kwanza...
Nipo zangu home nasukuma kete zangu kichwani.
Jinsi ya kupata Hela nyingi nijenge mijumba ninunue magari Mazuri nile bebez za kwenda.
Najisemea hela nyingi zina gharama kubwa na kutokuwa na Amani...
Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji.
Kesho itakua...
Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo...
Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja...
kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni...
Kama umekuwa ukipitia mitandao ya kijamii hivi karibuni, bila shaka umekutana na picha za mabadiliko mapya ya jiji la Vancouver. Muonekano wa jiji hilo umechochewa rasmi na joto la kukaribisha...
Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma. Kwanza kabisa, napenda kuipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa uliofanywa katika mradi huu, ambao...
KUTAFUTA PESA: MTIHANI WA LAZIMA KWA MWANAUME.
Kwenye mtihani wa maisha ya mwanaume, kuna maswali ya hiari na la lazima, Swali la lazima ni moja tu: Kutafuta pesa na kuzipata.
Hili si swali la...
Wakazi wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) baada ya kukamilika...
Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member...
Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote.
Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua .
Kinachofanyika ni kwamba...
Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga...